Search results

  1. magino

    Namna ya Kujisajili na CRDB SIM banking.

    kwakweli umeniacha hoi mkuu!!!
  2. magino

    Dr. Slaa ashindwa kung'ara Shinyanga

    mi pia kaniascha hoi jamani dah! swali wadau mbona mimi sionagi icon ya ku-like? au sijui ku-use forum? plz.:smiling:
  3. magino

    CHADEMA mwendo mdundo KATA YA DARAJA MBILI- Arusha

    yaani nimeipenda hii na mimi nasema AMINA NA IWE HIVYO!
  4. magino

    Mtimanyongo wa ITV kwa chama cha CUF.

    mi sina neno time will tell!!!
  5. magino

    Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

    oooh jamani kesho ntavaa nguo ndefu jamani samahani kukukwaza et eee LINCOLNMTZA
  6. magino

    Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

    haya mawazo ni mazuri sana, hata mm ni mpenzi wa CDM tusipojirekebisha katu Ikulu hatuioni!!! tusiwe wepesi wa kuwaambia wezetu wameongea pumba ili hali mawazo ni mazuri na ya kutujenga.... ni hayo tu kwa leo!!!
  7. magino

    Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    hukunielewa ndugu, nilimaanisha wapiga kura ni wanawake so let us be cool nisubiri kuchinjwa na nani tena, penye ukweli tuuseme!
  8. magino

    Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    jamani mimi napenda mageuzi lakini sasa hofu yangu ni kwamba tunatakiwa kutii sheria tusionekane sisi tunapenda fujo!!! sasa hebu angalia kina mama wanataabika na hayo mabomu wakiwa na watoto jamani!!!! kama vp wangeenda tu kimya kimya kwenye mkutano kwani kinachotakiwa si ni kusikia ujumbe...
  9. magino

    Taarifa Fupi kuhusu Kazi za Maendeleo Jimboni Ubungo (AMUA)

    asante sana mh mbunge wangu kumbe nilikuwa sina taarifa zingine, nashukuru sana kwa kuchukua muda wako kunijibu mbunge wangu, kumbe kwenda kwangu kituoni saa 11.30 alfajili siku ya uchaguzi pale kitu cha kibangu engl medium kulikuwa na maana sana .... once agaian thanx 4 replying!!!!! aluta...
  10. magino

    Taarifa Fupi kuhusu Kazi za Maendeleo Jimboni Ubungo (AMUA)

    mh mbunge wangu mnyika mm ni mkazi wa kibangu mbona sisi barabara yetu mbovu???? sijawahi kukuona hata ukija ubungo kibangu kila siku naskia ww na kimara, kimara na wewe!! hiyo namba ya cm kila cku imezimwa! na ikiwa wazi haipokelewi sasa nikueleweje, yaani sasa mpaka kanisa limeamua kujenga au...
  11. magino

    Wito: Tujiondoe CHADEMA

    pipoooooooooooooz pawaaaaaaaaaaaa! eee ndio je!
  12. magino

    Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

    hata yanga nayo huiamini pamoja na kuchukua ubingwa? teh
  13. magino

    Tatizo kwenye ndoa yangu naomba msaada

    :A S thumbs_down:
  14. magino

    Tatizo kwenye ndoa yangu naomba msaada

    Kwa kweli dada umemshauri vizuri naongezea tu hata kama atamrudia ahakikishe wanapima kwanza asijepata tatizo baadae na kuwaacha watoto wadogo wateseke bure! Ndoa gani ya hvo? Hamna heshima usingángánie mwenzangu!!!
  15. magino

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    :A S crown-2:asante sana mungu kwa ushindi huu tujalie pia tushinde Arusha!
  16. magino

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    mmmmh wajamen mungu atutangulie katika hii kesi!!!
Back
Top Bottom