Mi nadhani Majina ya Nyerere na Kikwete hayafanani kwa sababu nyerere ni Julius Kambarage Nyerere yaani J.K.N na Kikwete ni Jakaya Mrisho Kikwete yaani J.M.K sasa u J.K. uko wapi? Naomba mnifafanulie! Ladda ingelikuwa ni Jakaya Kikwete Mrisho labda U J.K. ungeleta maana!
Ndio maana tunasema elimu dunia itawasaidia kuchanganua mambo katika upeo usio wa kidini bila kupoteza imani na mapenzi ya dini yao. Hakuna mtu anayepinga uislamu. Mimi siupingi hata kidogo. Ila watu wajifunze kutofautisha dini na elimu dunia.
Nadhani baada ya uhuru mikoa mingi ilikuwa nyuma sana. Nyuuuuma saaaaaaaaaaaana! Ilibidi kubalance maendeleo ndicho kilichofanyika. Na katika kubalance maendeleo, wengine wanapata na wengine wanakosa kwa faida ya taifa zima. Hili ndilo lillilofanyika wakati ule, hivyo suala la udini hapa halina...
Asante mheshimiwa kwa matusi yako. Nimekusamehe kwa kuwa hujui usemalo. Kwanza kabisa nikusahihishe, sio "stereotape", nadhani ni "stereotype". Halafu sio "systemtic", nadhani ni "systematic". Halafu sio "politcal" nadhani ni "political". lol! Lugha za watu kama zinakushinda, tuwasiliane tu kwa...
Mimi nimetoa ushauri tu kama pelekeni watoto shuleni. Kumbukeni kuwa kutokuwa na elimu dunia kwa waislamu wengi si tatizo la wakatoliki au wakristu. Ni tatizo lenu waislamu wenyewe. Sasa hilo ungamo unalolisema lipo wapi? Kama mnabisha acheni kupeleka watoto shule na mtaona matokeo yake.
Kama kuna shida waislamu na nyinyi ombeni kiti. Shida iko wapi?
Halafu wengi mnabisha bila ya kuelewa mambo. Hata kama Vatikani itaomba kiti, nadhani itaomba kiti kama observer au msikilizaji, just kama umoja wa nchi za ulaya ulivyo katika AU. Sasa shida iko wapii? Hivyo kaeni mkijua kuwa...
Mi nadhani anzisheni shule za elimu dunia na muache kulalamika. Kulalamika hakutawasaidia lolote. Sasa ni wakati muafaka wa kuanzisha shule za maana. Ila mkiingiza udini katika elimu dunia hakutawasaidia.
Mi nakushangaa sana! Kwanza kabisa unaposema waislamu Tanzania hawana uhuru wa kuabudu una maana gani? Maana hii si kweli na hakuna haja ya kubishana kwa hili.
Pili unaposema, mahakama ya kadhi kuondolewa ndio kuleta udini mimi sikuelewi kwa sababu moja ambayo ni kama ifuatavyo: Je unajua...
Hata mimi nakubaliana na wewe. Kila mara hawa ndugu zetu wakishika madaraka basi mijadala ya udini inaanza. Kipindi cha awamu ya pili lilizuka la misikiti maofisini na hata (majina ya vigogo wale wananchi wanayo) hatujayasahau. Vipaza sauti vya misikiti vilianza kuonyesha hali ya wasiwasi wakati...
Hata mimi naunga mkono. Waislamu pelekeni watoto wenu shuleni na vyuoni. Mimi ni mkristu lakini nashauri hivi kama Mtanzania. Mkifanya hivyo, mtaacha kulalamika na mtaungana na wakristu katika kuijenga Tanzania bora. Na mkifanya hivyo hakutakuwa na ugomvi kwa sababu, watu walioelimika uelewana...
Halafu huyu Nyerere mnayempinga nasikia alimwomba pesa Muamar Gadaffi za kujenga msikiti. Naambiwa alipewa kiasi cha dola 400,000 za kimarekani na akazipeleka kwa Waislamu wa Musoma ambao walijenga msikiti au misikiti. Sasa itakuwaje awe hawapendi waislamu? Nadhani waraka unazungumzia tu...
Mi shida yangu katika kuuelewa waraka huu ni pale unapooneka kuupinga ukatoliki. Kwani waraka huu umeandikwa kwa ajili ya kuchafulia jina wakatoliki? Maana hapa anayepingwa ni mkatoliki. Mkatoliki anaonekana mbaya katika waraka huu, swali langu ni kwamba kama mkatoliki ni mbaya, mbona muda wote...
Ndugu Gavana umeandika:
huyu Pengo ni mnafiki nambari wani,
Angalia wakatoliki wangapi wanaishi kwenye umasikini. Yeye anaishi maisha gani????
Hoja yangu ni: Nadhani umekurupuka tu na kuandika bila ya kujiuliza ulikuwa unaandika kitu cha maana au la! Watanzania wangapi wanaishi katika...
Mr. Fungu la kukosa wrote:
My opinion is that:
You should know that the cardinal was in the church when he was saying that. That was the right platform and to the right people and at the right time! Hurray, our cardinal we respect you!
Mr. Fungu la kukosa added:
My opinion:
There was a...
Mr. Fungu la kukosa wrote:
You should know that the cardinal was in the church when he was saying that. That was the right platform and to the right people and at the right time! Hurray, our cardinal we respect you!
Mr. Fungu la kukosa added:
My opinion:
There was a problem and he was...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.