Search results

  1. J

    Meli mpya ya Titanic II kuzinduliwa mwaka 2018

    Titanic I, iliitwa unsinkable palace ila ika-sink
  2. J

    Kampuni Binafsi ya Upelelezi Ya kwanza kutokea Africa

    kwann wanakuwa na retired officers
  3. J

    Kumbe rais huwa anarithishwa hata mlinzi wake {body}

    huo mfumo wa kuwa na msaidizi mgongoni mwenye sare za jeshi ni utaratibu wa Uongereza na mataifa ya Commonwealth (yaliyowahi kuongozwa na Uingereza). Kw hyo kwa kuwa mataifa mengi ya dunia ya tatu yaliongozwa na Uingereza hasa Africa utadhan marais wanaokuwa na ma-ADC ni yale masikini. Google...
  4. J

    Wapi nitapata mafunzo ya intelijensia?

    udsm siku hizi kuna kozi inaitwa B.A Law Enforcement. Ni shahada inayohusiana na masuala ya Ulinzi na Usalama. Miongoni mwa masomo yanayofundishwa ni INTELIJENSIA
  5. J

    Sababu bilioni kwanini Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti CHADEMA

    KWANINI MBOWE ANAPASWA KUCHIA UENYEKITI!? 1. Ni mbinafsi, sidhan kama kipindi chooote hakuwahi kuona viongoz shupavu akawaandaa kushika nafasi hyo. 2. Yeye ndo anafanya watu wawe wasaliti kwa kuwa hataki kuandaa mazingira ya wengine kushika cheo hicho. 3. Uwezo wake wa kitaaluma ni mdogo sana...
  6. J

    Kuna familia zina laana ya asili

    laana za vizazi hukomaa kama msipomuangukia Yesu Kristo ili kuondokana na mfumo wa laana hizo. Kumtumia Yesu ndiyo njia pekee katika kuokoa kizazi.
  7. J

    CV ya Freeman Mbowe hii hapa

    what!!!! ovyo sana
  8. J

    Wasamaria tulifanya makosa kuchangia wahanga wa tetemeko Kagera?

    mamlaka gani ya serikali na kupitia chombo gani limetolewa tamko hilo!?
  9. J

    Utakatishaji fedha(Money laundering): Dhana iliyojificha kwa wengi!

    Utakatishaji wa fedha kiujumla ni kitendo cha kufanya fedha au mali yoyote iliyopatikana kiharamu ionekane ilipatikana kihalali kwa lengo la kuficha uhalisia wa namna ilivyopatikana ili kukwepa mkono wa sheria. Pia pesa yenye lengo baya kuifanya ionekane ina lengo zuri ni utakatishaji, kwa...
  10. J

    Mradi wa TASAF ungefutwa kwa nchi nzima

    hizo hela ni za World Bank hhah wanazitoa kwa maelekezo. Unazuia halafu inakuwaje sasa
  11. J

    Mwaka unakatika amejenga km 7 tu za barabara

    watu bana, msipende kuandika ujinga...watu hawana uzalendo. Mwaka umeisha ndiyo, wewe unawaza barabara! husemi watumish hewa!? husemi reli, husemi elimu bure, husemi madawati. Acheni roho ya kwanini. Tumuunge mkono Rais wetu ana dhamira ya dhati watanzania.
  12. J

    Diamond Platnums angefikiria kujiunga na kiwanda cha muvi Tanzania

    huwez kusema KIWANDA kwa kuwa kiingereza wanasema INDUSTRY, hizo ni tafsiri SISISI. Kwa kiswahili tunasema TASNIA.
  13. J

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    tulieni dawa iingie, lazima tupitie hapa ili tufike tunapokwenda.
  14. J

    Mwanamke na kufika kileleni

    nataka nimuandikiea mod niende kwa wakubwa
  15. J

    Ipi saini feki na orijino ya Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu??

    huyo ni mtu mmoja. sema sahihi yake imetofautiana ukubwa. ila ni moja tu hakuna tofaut. na hauwezi kusema kuna fake hapo labda ungeleta barua zenye contents moja ila sahihi tofauti
  16. J

    Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kwanza elezea ndoa mnafungia wapi, kama ni nchini kwa binti basi hapaswi kuwa na passport kabla ya ndoa. Lakin kama mtafungia Tanzania atalazimika awe na passport ya nchini kwake itakayomruhusu kuingia nchini. Halafu suala la mke kuwa raia sio automatically isipokuwa mlolongo sio mrefu, baadhi...
  17. J

    Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi

    Nimepitia kwa umakini huo uzi. Nimetafakari na kupima tuhuma dhidi ya MAGUFULI binafsi naziona hazina madhara makubwa kwa Taifa kwa kiwango cha kufanya asiwe Mgombea. Pili nimeshangaa sifa ambazo wapambe wa Lowassa huzitaja kwamba zinampa Lowassa ubora MAGUFULI anazo kwa kiwango cha kutosha...
Back
Top Bottom