Search results

  1. N

    Wakazi wa Dar Es Salaam wanakwamisha Mageuzi Tanzania.

    Wakazi wa Dar ni sawa na wakazi wa mkoa wa Kagera ambao ujifanya wanamageuzi wakiwa mikoa ya wenzao lakini kwao Magamba yameshika hatamu majimbo yote,mnatia aibu na unshomile wenu,tatizo mko wabinafsi na opportunist mnalalia upepo unakoelekea,sitashangaa CHADEMA ikiingia ikulu 2015 mkoa mzima...
  2. N

    Mhe. Masele: Kiongozi Kijana TZ asiyeogopa lolote (CV Attached)

    CV yake:1.2010 alimshinda mgombea wa CHADEMA kwa tofauti ya kura 1,mgombea wa CHADEMA alikata rufaa aka RIP. 2. Kanumba alionyesha nia kugombea 2015 aka RIP.3.Wote wanaoonyesha tofauti naye wna RIP
  3. N

    "Changes on the fingers" Lema kuanza kuifumua CCM - Dar

    Kwa Pinda ni CHADEMA tupu,hakuna sehemu yenye muamko kama Katavi,hata ofisi ya CCM ni kama iliisha fungwa,Mbunge wa Mpanda mjini kwa miaka miwili sasa ni SAID HALFI wa CHADEMA na anakubalika ile mbaya,isingekuwa kumuheshimu Pinda na kutoweka mgombea hata kwenye Jimbo la Pinda wangechukua kwani...
Back
Top Bottom