Huyo Wema mjinga kabisa.
Tayari Diamond alishamtosa hadharani pale Mlimani City. Wema alienda kumtuza vijihela vyake Diamond yeye akaendelea na shughuli yake.
Baada ya hapo Wema akaenda Clouds kwenye kipindi cha XXL akasema ya kuyasema watu tukadhani sasa maybe she is through with him for...
Tupo tumejaa tele.
Mama Ashrat ndio ubavu wangu
Yeye ndio mwenza wangu
Naombea watu wasituletee majungu
Maana Mwenye'ezi ndio kanitunuku
Kwake mimi taaban
Hata watu wachokoe vipi
Mimi sisikii wala sioni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.