Search results

  1. B

    Rais Magufuli apiga marufuku viongozi wa CCM kuitwa Waheshimiwa

    hakuna haja ya kubishana jambo ambalo hata SIO news... Uamuzi huu ulichukuliwa na kutangazwa miaka 3 iliyopita.... leo watu wanatokwa mapovu utadhani mbuzi kataga yai!
  2. B

    Rais Magufuli apiga marufuku viongozi wa CCM kuitwa Waheshimiwa

    Hili wala SIO newz! Uamuzi huu ulichukuliwa na kutangazwa miaka 3 iliyopita... kwa walio ndani ya hicho chama wanajua hili SIO la ajabu!
  3. B

    Vijana tunalaani Mwenyekiti UVCCM Taifa atakayepatikana kwa njia za rushwa

    Hebu Tumieni njia sahihi, Ukweli uwekwe wazi, mpate suluhu za jambo hili; huko huko kwenu! Kuja kulalamika hapa JF, ni sawa na kwenda sokoni kupiga kelele za kuibiwa nyumbani kwako!
  4. B

    Ndege mpya ya Askofu Gwajima aina ya Gulfstream N60983 (Business jet)

    Aidha.. ndege yenyewe inayotia watu kiwewe hata sio Gulfstream kama inavyovumishwa.. muundo unaonekana wazi sio Gulfstream... utafiti kidogo to huko Google unaweza kudhibitisha haya. Aidha; waswahili ni lazima tujiongeze. 1. Hongera zake sana (kama Askofu Gwajima) kwa kununua ndege... ingawa...
  5. B

    Marekani yasitisha rasmi Ufadhili wake wa MCC kwa Tanzania

    Kuhusu MCC: Nasi tutoe shukrani zetu: Asanteni kwa kuja. Was good when it lasted, na kwa hakika waTz wengi tumefaidi matunda ya mradi huu. Tutaendelea kuenzi matokeo mazuri ya mradi huu, na kuendeleza mahusiano mazuri kwa faida ya nchi zote mbili. - Wenu mTanzania
  6. B

    Tunaposema Sera za CCM zimeshindwa hatutanii, mfano hai huu..

    Mhhhh! HAKUNA ANAYEFANIKIWA KWA KUMSHUSHA ALIYE JUU! Huu mchezo wa kudhani ushindi unakuja kwa kunyooshea chama tawala vidole, hata sijui umetoka wapi na ni nani amedanganya kwamba hiyo ndio siri! Wanaoendekeza siasa hizi wamesahau kabisa; la muhimu kwa wananchi ni SERA; sio bahati nasibu; na...
  7. B

    Serikali yauchomoa Muswada wa Mahakama ya Kadhi Bungeni

    Waungwana, TUWE makini tunapo toa mawazo yetu kwa "Uhuru". Haisaidii chochote "kupaka chumvi" kwenye waliotaka swala hili lipite (na halikupita)! Muhimu hapa sio ushindi wa upande mmoja tu!.. Ushindi uwe ni WETU kama waTz! Aidha UTU na HESHIMA yako ni MUHIMU kuliko kujitafutia umaarufu wa...
  8. B

    Serikali yauchomoa Muswada wa Mahakama ya Kadhi Bungeni

    Fyengeresya: ...Bila shaka unatafakari kabla ya kupost!
  9. B

    Serikali yauchomoa Muswada wa Mahakama ya Kadhi Bungeni

    .. La muhimu hapo ni ukweli kwamba swala hili linahitaji "maridhiano ya kitaifa".
  10. B

    Using PayPal and MoneyBookers with CRDB VISA Card

    No... I do have a PayPal account; yes you can not receive money if you arein Tz. But I doubt it is because of money laundering issues. Kuna nchi zina hilo tatizo KULIKO Tz by far, na wana full PayPal access. Nadhani it is simply a market issue (size, quality, modality na vitu kama hivyo). Kuna...
  11. B

    Nape akutwa na majanga Iringa

    Duh!! Basi bwana!!
  12. B

    Mfanyabiashara maarufu Arusha Olais Metili afia guest

    Ilboru Lodge ni nyota tano???
  13. B

    Behind the scene ya kifo cha Msichana Betty Ndejembi na Mitandao ya Kijamii - cyberbulling

    Nashindwa kuelewa essence ya swali "WHo was she?" Kwani ni lazima awe "somebody" (mtu maarufu) ku-appreciate ukwelikwamba huyu dada kauliwa kinyama? Ok Tuchukulie hana "Impact" inayojulikana, will that justify her death? MUHIMU hapa ni Ukweli ni kwamba mwanadamu, binti, kijana; kauwa kinyama -...
  14. B

    Behind the scene ya kifo cha Msichana Betty Ndejembi na Mitandao ya Kijamii - cyberbulling

    POLENI sana wote mloguswa na msiba huu. Ukweli inasikitisha SANA! Na ukweli pia; UNLESS KILA MMOJA kwa nafasi yake anaamua kutokukaa kimya pale anapoona uonevu unyanyasaji na all sorts of injustice zinaendelea, upumbavu kama huu utaendelea kushamiri kwenye jamii yetu. YOU MUST DO something! Ni...
  15. B

    Serikali 3 na gharama zake

    Mhhh... Nadhani BAK unakwepa wajibu. Kwenye mjadala kila mtu ana wajibu wa kuweka ushahidi wake hadharani na kuhakikisha unaeleweka na mnaye jadiliana naye! Yawezekana kabisa Mkandara kamsikia Lipumba; lakini kamwelewa alivyomwelewa,na hajaona uzito wa hoja za huyo Lipumba. Inaonekana...
  16. B

    Clouds yaipotezea UKAWA

    Ukweli unafiki kitu mbaya! Hivi inakuwa je mtu akikuunga mkono; kwako ni shujaa na unamuimbia sifa kibao! Mtu huyo huyo kesho akionyesha kuwa na msimamo ambao wewe huukubali, mara anakua adui, na unaanza kummwagia matusi kibao! Kupo wapi uwezo wetu wa kuheshimu mawazo na uhuru wa mtu...
  17. B

    Leticia Nyerere, John Shibuda (CHADEMA) wajisajili katika Bunge Maalum la Katiba

    Mhhh... Nilidhani tunataka wabunge wanaoweza kuwa na kusimamia maamuzi yao binfsi! Sasa iweje huyu Mama anapigwa mawe? Au ni kwa vile amechagua kufanya kinyume na tunavyotaka baadhi yetu? halafu tunalia unafiki!
  18. B

    Kumbe UKAWA walikuwa Wanatupotosha?

    Ndugu... Kanuni za takwimu unazijua?
  19. B

    Kumbe UKAWA walikuwa Wanatupotosha?

    ...na point yako ni...?
Back
Top Bottom