Search results

  1. E

    Tetesi madaktari kuzimua mgomo wao

    Busara zinahitajika hapo, waanze kupunguza kujilimbikizia mali wanasiasa kwanza ndipo hiyo migomo itakwisha, vinginevyo sahau.
  2. E

    Siri nje kujisalimisha kwa anayedaiwa kumteka Dr. Ulimboka

    Changa la macho, ile sms waloikuta kwenye simu yake huyo anayejiita mkenya inaonekana ilikuwa ni movie fulani kwamba 'nimefika najaribu kuwazoea'. 1.Huenda wameitengeneza wapelelezi wa sakata hili lililofanywa na wendawazimu walomjeruhi Dr Ulimboka 2. Kama kweli ni jambazi sijaona kama...
  3. E

    Madaktari hurudisha fedha walizopewa kama mkopo kwa HESLB?

    Kuongezea hapo, wanaopata 100% ni kuanzia walio mwaka wa tatu sasa na kushuka chini, madarasa ya mbele wapo katika ma Grade kama kawa.
  4. E

    Madaktari wenzangu: Only "Mass resignation" itawaamsha watawala!

    Nadhani ni vizuri ukafahamu kama kweli ma Dr si wazalendo ukilinganisha na makundi mengine, pia mazingira wanayosoma hao madaktari wetu je yanawajengea uzalendo? Mwaka ulopita tumeshuhudia wanachuo wa IMTU wakisuguana na Uongozi wao kwa sababu ya ada kubwa wengi wao wakishindwa kuendelea na...
  5. E

    Madaktari wenzangu: Only "Mass resignation" itawaamsha watawala!

    Nadhani ni vizuri ukafahamu kama kweli ma Dr si wazalendo ukilinganisha na makundi mengine, pia mazingira wanayosoma hao madaktari wetu je yanawajengea uzalendo? Mwaka ulopita tumeshuhudia wanachuo wa IMTU wakisuguana na Uongozi wao kwa sababu ya ada kubwa wengi wao wakishindwa kuendelea na...
  6. E

    Paradox: Mgomo wa MDs unawadhuru Wangonjwa; Kufutia Usajili MDs kunasaidia wagonjwa!

    Serikali haiwezi kuathirika, watakao athirika ni wa Tanzania kwani ndo wahitaji wakuu wa huduma. Serikali itaathirika pindi wa Tanzania haohao watakapoamua kutowarudisha madarakani kwa kutohakikishiwa huduma zao muhimu kama Afya, Elimu, Maji na huduma nyinginezo.
  7. E

    Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

    Nchini Afrika ya kusini wana uongozi bora, kuweza kuhudumia wana nchi wake kwa huduma muhimu ikiwemo Afya. (Hospital nzuri zenye vifaa na dawa za kutosha, pia wanawajari wahudumu wa afya pia) Mungu atusaidie kuwa na viongozi wenye kutoa maamuzi yenye hekima na busara kunusuru maisha ya wa Tanzania.
  8. E

    Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

    TWISUKI INGULUVI YE YILIKUCHANYA YITULEKE NI NZANANGIFU MBE SILI (Tunamwomba Mungu wa mbinguni aatusamehe na dhambi zetu zote)
Back
Top Bottom