Search results

  1. M

    Ndugu Zitto ziarani Ulaya

    soma kwa makini anaenda kufanya nini huko ujerumani hii ni sehemu ya watu makini kama vip hamia kwa wnzako fb
  2. M

    Ndugu Zitto ziarani Ulaya

    safi sana kwa kufikisha ujumbe kwa boya huyo wa fb and not jf
  3. M

    Tamko la madaktari bingwa MNH, MUHAS na ORCI

    if u cant convice them, comfuse them. the government has failed to convice us now is trying to find the way can confuse us. join together to fight against this kind of oppression towards our doctors. solidarity forever
  4. M

    Membe: Wizi ulipangwa Hazina

    re. wizi ulipangwa hazina. ni hatari kuona kiasi kikubwa kama hicho cha fedha kinatoeka ktk mazingira ambayo maofisa wa serikali wanahusika. ni vyema wangehifadhiwa kwanza(jela) then uchunguzi ikaendelea.
  5. M

    Masikini CHADEMA- Kwishnei

    [hustahili kuwa mmoja wa waJF plse get out of this page]
  6. M

    Mahakama yatoa amri ya kuzuia mgomo wa madaktari hapo kesho!

    siamini kama mahakama yaweza kuwa suluhisho zaidi ya kuendeleza ngonjera. hapa tuungano sote kama ndugu kuwaombea ndugu zetu waliolazwa hospitaali wapate ahueni.
  7. M

    Zanzibar na serikali ya muungano

    Ni wiki mbaya kwa watanzania wenzetu wanaoishi tanzania visiwani kutokana na vurugu zinazoendelea. Imefika wakati sasa swala hili lichunguzwe kwa umakini je, kuna makundi ya wanaharakati ambayo hayataki muungano, au kuna viongozi wanatumia wanaharakati kuukataa muungani au ni wazanzibar wote...
Back
Top Bottom