Search results

  1. U

    Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

    Scott Ritter bado anawavua nguo West. Sasa huyo ni Iran, Vipi kuhusu Missiles za Russia 🇷🇺🇷🇺🇷🇺 mfano wa ile Samart II mh? Wataeza kulizuia kweli??? Wataweza kupambana na Russia hawa? QA-I'nh
  2. U

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Umekwama wewe mzee.Uislam ndio dini inayokua kwa kasi zaidi duniani.Fanya utafiti urudi na data za kutuonyesha uislam ukiporomoka.
  3. U

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Muungwana acha fiksi.ISIS waliokuwa wanasaidiwa na NATO walibakiza kilomita20 tu kuingia Damascus.Gemu lilibadilika baada ya Vladimir Putin kuamua kuingilia kijeshi kumsapoti ASSAD.Ni kweli ISIS na wafadhili wao wa Magharibi walikula kichapo kitakatifu.Hii SMO ya UKRAINE ni raundi ya pili ya...
  4. U

    Waliandamana kufelishwa na NECTA kwenye elimu ya dini kipindi cha Ndalichako, wamemweka wakwao lakini matokeo ni yaleyale

    Duuh mzee kachagua shule za kata zilizoko Unguja na Pemba ndio anakuja kuwananga waislamu wote wa Tanzania. Kwa muhtasari tu, improvement ni kubwa sana kwenye baraza la mitihani.Tayari kuna muonekano wa tafauti kwenye matokeo.Nakuwekea screen shot za matokeo ya shule za kiislamu huko huko...
  5. U

    Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

    Huyo Mpigadili fisksi tu,sijawahi kusikia msikiti mtu anafungiwa mlango.Hata kwa hao mabohora na mashia hapo Kisutu hawafukuzi mtu yeyote.
  6. U

    Kuna kitu cha kujifunza kwa Zelensky

    Mkuu JR16, Kulifikiwa makubaliano ya kusitisha mapigano chini ya usimamizi wa German,Turkey na hata Israel walishiriki pia.Rais wa Israel ndie aliyechukua assurance kwa PUTIN kwamba hatomuua Zelensky. Lazima uelewe pia lengo la RUSSIA sio kuisambaratisha UKRAINE kama ambavyo ISRAEL anafafnya...
  7. U

    Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

    Mbale Islamic University.Imekuwa best private University kwa mara mbili mfululizo.Inaonekana waislamu wanaondekeza quran peke yake na kukataa elimu ya dunia wako Tanzania tu.Maana Algeria,Morocco,Egypt nk wao wanafanya vizuri sana katika masomo ya dunia.Tusisahau pia nchi ya IRAN ina wasomi...
  8. U

    Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

    Kama ulisoma ulisoma elimu ya msingi zamani kabla ya 1992,utakumbuka kulikuwa hakuna kauli ya kupasi kwenda form one,bali kuna kauli ilikuwa inatumika kuchaguliwa kuingia kidato cha kwanza.Tulijengewa fikra kuwa nafasi hazitoshi kwa wote wanaofaulu,kwa hiyo wachache wanachaguliwa.Hapo kwenye...
  9. U

    Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

    Mangungo usihukumu Jamii nzima kwa kasoro ya sehemu moja.Inawezekana kabisa shule aliyokuwa akifundisha mchumba wako ikawa na tatizo hilo,lakini si zote.Chunguza kidogo hawa tunaowaita wapemba wana wasomi wengi kwa uwiano kulikoni wewe unavyofikiri.
  10. U

    Nawapongeza Uongozi wa Simba SC kwa mlichokifanya leo kwa Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama

    GENTAMYCINE kaongea kwa uchungu sana. Poleni wana makolo wote, lakini siamini kama kuna kiongozi wa Yanga atakuwa mpuuzi kumsajili Chama. Ila nakubaliana na wewe Gagarino na China ni katika viungo bora kabisa kuwahi kucheza mpira hapa East Africa.
  11. U

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ukraine wananikumbusha mikwara ya Comical Ally wa Iraq wakati wa vita ya pili ya gulf.Kila aliemsikiliza aliamini jamaa wanatoa kipigo kikali kwa US na washirika wake,tena wakiwachinja kwa mamia kila siku kama update za mjomba kirat zinavotuambia.
  12. U

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    kama unafikiri ipo siku western media zitakupa habari za mateso waliyopata wakati wa winter,basi amini pia beberu nae atapata mimba. Moja wa waanga wa kukosa nishati rahisi ya RUSSIA ni viwanda vikubwa vya europe,waulizie vipi hali yao kwa sasa. Hali hii ya kuumia kwenye nishati ndio imechochea...
  13. U

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Are u serious mkuu? Putin atatua USA na nakuhakikishia hakuna atakayethubutu kumkamata.
  14. U

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    kaka uko sahihi asilimia 90.Tatizo wlilokutana nalo kwa sasa ni kuwa wanadeal na some the very best brain,kwa ufupi RUSSIA ina wasomi wabobevu wa fani nyingi sana kuliko wengi tunavyojua.Embu angalia kwenye ECONOMY walivyoweza kuinitiate Multipolar economy kwa kupunguza influence ya US/WEST...
  15. U

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Vita baina ya RUSSIA na USA ni MAD maana yake ni uhakika wa kuangamizana kabisa kila upande.Hautokuja kushuhudia USA au RUSSIA akimpiga mwenzie kombora .Forget about cost,ile muttually assurred destruction ni kizuizi tosha cha kila mmoja kumuheshimu mwenzie.Ukifuatilia maandamano yanayoendelea...
  16. U

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hivi unafikiri USA wako tayari kurisk kuvitanua zaidi hivi vita? Kuna baadhi ya mambo ambayo RUSSIA anajizuia sana kuyafanya na ndio maana hii aniita SMO.Hivi juzi kuna Jenerali mmoja wa RUSSIA karudishwa nyumbani kwa sababu alitoa tamko kuwa njia sahihi ya kuimaliza hii vitu ni kuusambaratisha...
  17. U

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu tatizo watu wengi wao huamini kila habari inayotolewa na vyombo vya habari vya west.Hii uliyoielezea ndiyo hasa ilivyokuwa kwenye CUBA MISSILE CRISIS.Hautosikia western media yeyote ikielezea ya Kwamba USA walishurutishwa na wakakubaliana na masharti karibia yote.
  18. U

    Kwanini Russia ilishindwa kumtetea Saddam Hussein wa Iraq ila sasa inamkingia kifua Bashar Al-Assad wa Syria?

    Wakuu vile vile tusisahau mabadiliko ya kiungozi yaliyotokea Russia,kwani naamini yanamchango mkubwa sana kwa yanayoendelea kwenye siasa za kimataifa.Ni kweli Saddam Hussein alikuwa ni mshirika mkubwa wa Marekani na CIA na wao ndio waliomuingiza madarakani.CIA walimtumia almarhum Saddam...
  19. U

    Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    Habari kiongozi. Mimi nafikiri mleta mada kaleta uchokozi ili tuone ukweli halisi wakilichotokea UDOM.Tuliaminishwa waislamu ni wengi sana kwenye uongozi wa UDOM yapaswa wapunguzwe,lakini ukweli tumeona ni kinyume kabisa.Kama kweli tunapinga udini katika mifumo yetu ilitupasa tuwakemee vikali...
Back
Top Bottom