tuweche kijichokowa jicho kwani halina utani ukikosea maoteo yake ni kupofuka na kupata ulemavu wa kudumu mwisho wake utaitwa chongo lakini kama unge tulia ukamwambia mtu akutizame jicho lako kuna nini aidha kwa haraka haraka ungepulizwa au ungepata dawa jicho likawa powa ni bora kutumia busara...
unajuwa waswahili nadhani uwa wanatizama picha za njee wanao fanya madamano na wao hujaribu ili wapate kuonekana ktk Tv na kusikilikana ktk Radio lakini wajuwe amani ni kitu muhimu sana kama walijaribu wamepata wasifanye tena
hebu tutizame mtume wetu SWA alifanyaje alipo igombowa Meeka panapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.