Search results

  1. L

    Kwanini Waarabu wanauana sana wao kwa wao?

    Waislamu katika historia yao, yupo msomi wao mmoja alikuwa anapinga sana modernism( mambo yote ya maendeleo). MI 6 imedakia mafundisho yale, ndio unaona hawa terrorists ( kina Osama bin Laden) wanachukia sana maendeleo MI 6 ni British Intelligence. Hawa terrorists wengi ni creation ya British...
  2. L

    Wakimbizi wa DRC wanaowasili Uganda wasimulia mateso

    Wale wanalinda Presidential Palace. Kesho naweza kuweka detail kidogo. Lakini ipo contingent katika Umoja wa Mataifa, na askari wengine, jw, wapo pale specifically kumlinda Kabila.
  3. L

    Wakimbizi wa DRC wanaowasili Uganda wasimulia mateso

    Wewe ni mjanja? Mimi nina sms contact na watu kule.
  4. L

    Raia wa Oman analizunguka bara lote la Africa kwa pikipiki ili kuvunja rekodi.

    Alikuja mpanda baiskeli Mfaransa nyumbani kwangu. Anatafuta mahali pa kulala. Nikamwambia aende hotel I. Anasema,"No money" Nilikuwa na gf. Yule gf akaniambia, huyu jamaa nimemuona kwenye gazeti Leo. Anazunguka dunia na baiskeli. Nikasema,"Mhhh?. We we, karibu ndani. Utalala hapa mpaka kesho."...
  5. L

    Wakimbizi wa DRC wanaowasili Uganda wasimulia mateso

    Oh , post yangu haieleweki. Is it my fault if you are mentally retarded?
  6. L

    Rais Magufuli anastahili pongezi kwa kudumisha amani Tanzania

    Katika huh uongozi wake tumeishi kwa amani Tanzania. Lakini sasa Mimi nashangaa kuhusu utitiri wa viongozi wa Upinzani ambao wapo Mahakamani. It seems to me to be so unnecessary, halafu ni waste ya financial resources. Mbunge anatakiwa kukamatwa kwa kosa kubwa. Unajua makosa wanayofanya Wabunge...
  7. L

    Iran yalaani matamshi ya Trump dhidi ya Waafrika

    Yale mambo yalizungumzwa kwenye kikao cha siri halafu yakavujishwa. Hata sidhani mpaka leo kama anajulikana aliyeyavujisha. Tusijiingize katika politics za Marekani na kukomenti mambo tusiyoyajua. Kule kuna " America First" politics kwanza Africa does not exist. Nilikwenda Singapore nikaulizwa...
  8. L

    Wakimbizi wa DRC wanaowasili Uganda wasimulia mateso

    Wakimbizi nimeandika walimbizi.
  9. L

    China wafanikiwa kuzalisha nyani kwa cloning; na wasema inawezekana kuzalisha binadamu

    Wapo clones kama George W. Bush na robotoids kama Hillary Clinton. Clone ni mtu. Robotoid ni biological computer.
  10. L

    Wakimbizi wa DRC wanaowasili Uganda wasimulia mateso

    Mateso waliyopata kutoka kwa vikundi vinavyopigana kuipinga Serikali. Bila kufsfanua zaidi au labda this is self- explanatory. Kuna kazi kule DRC. Security Council inataka kumuondoa Kabila lakini JWTZ inalinda Presidential Palace.
  11. L

    Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

    Ndio Atlantis imezama pale. Itainuka kama ilivyozama ikitokea world war three. Masayantisti wanapopita pale, they can detect it with their instruments. Indeed watu watanyukana kwa makusudi, kwa sababu wanataka kuiinua Atlantis, kwa sababu kuna habari pale kuhusu intergalactic travel.
  12. L

    Kwa uchochezi huu sitashangaa kusikia gazeti la Tanzania Daima limefutwa moja kwa moja

    Lakini ordinary reporter sidhani kama ataifahamu sheria kama wewe. Sioni kama wamefanya uchochezi
  13. L

    Je uko tayari kuoa au kuolewa na freemason?

    Umesikia Freemasons wanawakaribisha watu wa dini zote kujiunga nao. Wanasisitiza mtu awe na dini kujiunga nap.
  14. L

    Maneno ya Henry Kilewo kwenda kwa Joseph Mbilinyi(Sugu)

    Nilikuwa napita Mjini( Dar) leo nikawaona jamaa wamebeba benders nyingi za Chadema, wanaziweka kila pahali. Mmoja wao anasema"Yule jamaa, amejiunga na CCM ati sasa anataka arudi Bungeni! "
  15. L

    Maneno ya Henry Kilewo kwenda kwa Joseph Mbilinyi(Sugu)

    Wabunge wa Upinzani, they are courting controversy. Wana kiu ya kwenda Mahakani. Wana tabia ya wanawake ya kupenda kesi, kupenda mashahidi kuitwa, kupenda kujitetea, kupenda debates and argument, kupenda kila kitu kuhusu Mahakama. Tabia ya wanawake.
  16. L

    BUTIAMA, MARA: Serikali yavunja mkataba na TBA baada ya kumlaghai Waziri Mkuu

    Hapa umeandika Serikali imemlaghai Waziri Mkuu.
  17. L

    WanaJF mnatia aibu mnapozichunia posts za English

    You are writing to Swahili speaking people. So why on earth should you write in English?
  18. L

    Serikali mtueleze China inatudai kiasi gani

    Umeona maoni ya Bookings Institution kuhusu biashara ya Afrika na China? They are very pessimistic.
  19. L

    Wachawi mliopo JF nitoleeni ufafanuzi wa hiki kilichonitokea usiku.

    Umemshika mtu makalio, unepigwa kabali.. Sasa unauliza nini?
Back
Top Bottom