Search results

  1. kibogo

    RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

    Wapeleke majina yapi? haukumbuki kuwa CHADEMA walisema hawahitaji nafasi hizo na hawatambui matokeo yote ya uchaguzi. ninachokishangaa sasa baada ya matamshi hayo wenzao wakatumia hiyo fulsa kuingia Bungeni wakasema wamewafukuza uanachama na kwa sasa hivi hao akina H.Mdee sio wanachama wa...
  2. kibogo

    Tuondoe aibu hii anayosababisha Spika Ndugai

    Uwakilishi upi unao uulizia? Wabunge waliopo Bungeni wanatuwakilisha sisi wananchi, wale wa kuchaguliwa kwenye majimbo wanawakilisha Majimbo yao na sisi wananchi na hao wengine wa Kuteuliwa na Viti Maalum wanatuwakilisha sisi wananchi tatizo lipo wapi?
  3. kibogo

    Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

    CHADEMA watajikuta hadi tunafika 2024 wao wanapambana kutaka wakina HALIMA MDEE wafukuzwe Bungeni huku mambo ya msingi ya kuimalisha chama na kujipanga kwa uchaguzi Mkuu ujao wakiyasahau na kujikuta wanashindwa vibaya kwenye uchaguzi na kuendelea kulalamika huku ni wenyewe waliosababisha hayo...
  4. kibogo

    Tuondoe aibu hii anayosababisha Spika Ndugai

    Mkuu Paschal nimekusoma vizuri sana kwa ulichokiandika ingawa baadhi ya watu wenye uelewa mdogo wanakutukana. Katika ulichokiandika nipende kuongezea tu kwa CHADEMA ni kuwa hiki wanachokifanya wasifikiri wanakiimalisha chama nionavyo mimi wanajimaliza wenyewe huku wakijua au kutokujua kwani...
  5. kibogo

    Tuondoe aibu hii anayosababisha Spika Ndugai

    Kwa hiyo kama alikosea kipindi kile ndio afanye kosa hilohilo na kipindi hiki? Ninachokiona wengi humu mnaandika kwa mihemko bila kutafakari kwa kina juu ya issue hii.
  6. kibogo

    Usikubali kusaini nyaraka hii unapopekuliwa na Polisi

    Umesoma vizuri kilichoandikwa? Ebu rudia tena kusoma alichokiandika mleta mada halafu jitafakari na ulichokiandika
  7. kibogo

    Hii picha ya Halima Mdee unaitafsiri vipi?

    Siku hizi Jukwaa la siasa limekuwa na hoja za kijingajingaaa kama hii iliyowekwa hapa.
  8. kibogo

    Mufti Zubeir: Kuna mijitu ilikuwa na kesi za Uhujumu Uchumi, huruma ya Magufuli ikawataka warudishe walizoiba

    Kinachosikitisha anayeyaongea hayo kafunga Mwezi mtukufu wa ramadhan.
  9. kibogo

    Mwenyekiti wa CHADEMA yupo wapi? Mbona kimya sana, hajatia hata neno

    https://www.jamiiforums.com/threads/mwenyekiti-wa-chadema-freeman-mbowe-atuma-salamu-za-rambirambi-kufuatia-msiba-mzito-wa-rais-magufuli.1848795/
  10. kibogo

    Mwenyekiti wa CHADEMA yupo wapi? Mbona kimya sana, hajatia hata neno

    https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2021/03/2718477_1616092142148.png
  11. kibogo

    DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

    Lakini pia ukae ukijua kamwe hauwezi kuwa maisha mazuri kama wanayoishi akina Mbowe utaendelea kuishi maisha ya hovyo kama uliyo nayo sasa hadi utakapokufa.
  12. kibogo

    Askofu Gwajima, mahubiri yako ya jana tarehe 7 Machi, 2021 yana walakini

    Duhh!! hivi kumbe Gwajima bado ana waumini wanaomwamini na kupoteza muda wao kuhudhuria kwenye kanisa lake? Hapa ndipo ninapoamini kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 za mwisho Duniani kwa watu wake kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri yaani low IQ kutokana na tafiti mbalimbali zilizofanyika Duniani.
  13. kibogo

    Dkt. Mwigulu: Chanjo za Corona zimefanyiwa utafiti nchi za baridi zitawafaaje watu wa Dar es Salaam?

    Nimewaza sana, hivi kwa hii kauli ya kuwa watu walitoroka na na kwenda kuchanjwa na sasa inawaletea matatizo anawazungumzia wakina nani? tumeshuhudia na kusikia kuugua na hata vifo vya watu maarufu na viongozi wakubwa waaliopo madarakani na waliokwisha staafu na kiuhalisia ili kupata chanjo hiyo...
  14. kibogo

    TANZIA Medi wa Ngara Oil afariki Dunia

    Ninachokiona yaani mwaka huu Jan 2021 hadi sasa Ndugu zetu wenye asili ya kiarabu wamefariki wengi sana na karibia wote chanzo cha vifo vyao vinafanana wanaugua ghafla kwa dalili zilezile na wanafariki ninajiuliza kulikoni?
  15. kibogo

    Je, Serikali ina uwezo wa kuwalinda Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA waliofukuzwa Uanachama?

    Vipi kuhusu Cecill Mwambe wa kule kusini katika Bunge lililopita? je Ndugai aliporuhusu aendelee na Ubunge wake huku akiwa sio mwanachama wa CHADEMA kuna sifa yeyote aliipoteza? kuendelea kuyajadili haya huku tukijua wazi hakuna kitakachofanyika ni kupoteza muda tu ni vema tukajikita kupambania...
  16. kibogo

    Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

    Hata kama tunakichukia chama fulani kwa sababu tu wewe ni mshabiki wa chama fulani Ubinaadamu na Uungwana ni kitu muhimu sana na ni vema tukatambua kuwa mara nyingi 1. MANENO UUMBA 2. KABLA UJAFA HAUJAUMBIKA 3. MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI. sasa wewe unayeandika hivi kwa kujiona tu umzima bila...
  17. kibogo

    Tundu Lissu apata mapokezi ya Kifalme Kijijini kwao Singida

    Tambua kuwa Lowasa hakushindwa bali alitekeleza makubaliano yao ya kuhakikisha CCM inaendelea kutawala kwa kujifanya kukubali matokeo ambayo kiuhalisia alikuwa ameshinda na ndio maana zoezi la kuhesabu kura lilikuwa ni la ajabu ajabu kama ulifuatilia vizuri.
  18. kibogo

    Uchaguzi 2020 Mbeya (M) tunataka Mbunge Msomi

    Elections 2020 - Mr Sugu hashikiki Mbeya Mjini , Mahasimu wake washikana uchawi
  19. kibogo

    Mbowe ajiuzulu mwenyewe la sivyo nitamshitaki Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma

    Wewe tangu nimeanza kukuona humu na kusoma unayoyaandika haujawahi kuandika kitu cha maana chenye uwezo wa kulikwamua Taifa na umasikini au hata kukusaidia wewe na familia yako na dhiki zinazoiandama na nina uhakika kama una familia yaani mke na watoto basi unadharaulika sana na familia yako...
Back
Top Bottom