Search results

  1. P

    Jina la Mh Wiliam Lukuvi, linatumiwa wezi Morogoro

    Tahadhari. Wakazi wa morogoro mjini, leo kuna wezi au matapeli wanatumia namba za voda zifuatazo. 0753663502 ambayo imesajiliwa kwa jina la William Lukuvi na 0764565170 ambayo imesajiliwa kwa jina la Ally Lufunga. Huyu ally anaiba kwa kudai kuwa mh William Lukuvi anataka kumtumia pesa lakini...
  2. P

    Ajali mbaya ya basi la Meridian

    Likiwa limetoka Rombo kwenda Dar limeanguka hapa karibu na Mbwewe Bagamoyo. Watu wamekufa. Basi limekatika siti zipo njee. Dereva bado hajatolewa.
  3. P

    Tanzania na Presidetial Form of Government

    Tujadili swali hili dogo. Kabla sijaliweka ieleweke kuwa mimi ni mojawapo ya wanaoamini kuwj Dr Slaa alishinda uchaguzi mwaka 2010. Pia naamini kuwa kama atagombea 2015 atashinda. Tatizo ni kuwa magamba yana dalili za kuendelea kuwa majority bungeni. Kama leo Slaa angekuwa rais, wabunge wote wa...
  4. P

    Hello!

    Am pleased to join the forum. Please accept my views. Thanks.
Back
Top Bottom