Search results

  1. N

    soko kwa ajili ya kuuza bata mzinga

    Mimi pia ninao ukweli yai lake moja ni sh elfu tano tu mawili elfu kumi. Ukweli hawa ndege ni watamu sana na ni bei kubwa kutokana na tamaduni za wenzetu wanazitumia sana, na pia ukuwaji wao ni shughuli kidogo kama ni mtu wa kukata tamaa haraka utaishia kuwaweka pambo tu bila kuongezeka wale...
  2. N

    Ufugaji wa Bata Mzinga (Turkeys) unalipa?

    Unalipa ukiwa una nia hasa ya kuwa mfugaji wa bata mzinga. Mimi nilianza na turkey wawili jike na dume. nzao ya kwanza alitaka maya 13 nikamnyang'anya na kuyaweka kwenye incubetor nikamwachia yai moja alalie ili kumpunguzia kihoro maana alikuwa anatafuta mayai yake pale nje alipotaga...
Back
Top Bottom