Search results

  1. K

    Natangaza KUJITOA Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

    kwakweli chama kinatumaliza, kimekuwa wakala wa serikali
  2. K

    Majibu ya Kigwangalla: Kwa Nini Sikusaini Hoja ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (MB)!

    mh. mbunge umuhimu wa waziri mkuu ni uwajibikaji kwa wananchi, lakini kama anaona macho tuu kama mtazamaji hatufai hata kidogo pamoja na raisi wake. tulifikiri wabunge vijana kama wewe damu changa ungechukua maamuzi magumu kama mh. mbunge filikujombe wa ccm mwenzako. kumbe huna maamuzi, ujue...
  3. K

    HOJA ya Zitto yawasilishwa kwa spika

    zito ndo mbunge bwana makinda hawezi kukalia kama alivyozoea.
  4. K

    HOJA ya Zitto yawasilishwa kwa spika

    Zito akaze buti lazima kieleweke mawaziri wa jk, wanatuzingua sana hawa. na baadae wapite kwa wananchi kuwaelimisha juu ya sakata hilo.
  5. K

    Zitto: Maelezo ya Waziri na Naibu wake sio ya kweli (Audio)

    kwakweli nawapongeza sana wananchi waliotuchagulia mbunge zito, maana kazi yake tunaiona. na inafaa tuingize maoni ya mabadiliko ya katiba ili kipengele cha umri kirekebishwe ili vijana kama hawa wasaidie nchi.
  6. K

    Kwa wanachama na wafuasi wa cdm-wanaoishi/wanaotoka wilaya ya lushoto

    jamani chadema ndio suluhisho sahihi la mafisadi, nashangaa lushoto wanavyo mng'ang'ania mzee shekifu, mtu ambaye amefirisika kimawazo.
Back
Top Bottom