Search results

  1. S

    Ramani ya Nyumba

    Nyumba unataka iweje? Unataka kuijenga wapi?
  2. S

    ***** Chupi ***.....

    Ladies - white, pink, red, violet etc. Kama ni dada mweupe sana, rangi nyeusi pia inanipa mzuka. Kwa wanaume sijui....labda wadada watuambie! Binafsi sipendelei hot colours wala nyeupe.
  3. S

    Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

    Na mimi nimeshangaa, Kichwani Zero ghafla kageuka kuwa MNYISANZU
  4. S

    Happy Birthday Nguruvi3..!!

    Hongera sana Nguruvi3
  5. S

    Dress Code Za Wanaume Nisizopenda

    Hiyo namba 3 ni extremely subjective. What is "cheap" to you?
  6. S

    John Tendwa Live on ITV katika 'Kipima Joto' cha Masako!

    Yaani huyu jamaa huwa namfananisha na jaji werema! Vyeo vikubwa lakini watupu 'upstairs'!
  7. S

    Nyerere's best hotuba.

    Huyu mzee alikuwa anaona mbali sana!
  8. S

    Sensa: Ponda, wenzake wahesabiwa

    Hivi kamishna wa sensa ni dini gani?
  9. S

    Deadline ya Sensa haijaisha, Why Watu wanashitakiwa kwa Kutokuhesabiwa??

    Kwani hao walioshtakiwa walikataa kwa sababu ya kukosa uhakika wa taarifa zao/fulani?
  10. S

    Deadline ya Sensa haijaisha, Why Watu wanashitakiwa kwa Kutokuhesabiwa??

    Ndio maana nimetumia neno "ushirikiano"! Sote tunajua kunaweza kuwepo dharura au udhuru......lakini sifikirii kama kwa mtu wa namna hiyo atoatoa jibu kama "sitaki" kwa karani.
  11. S

    Deadline ya Sensa haijaisha, Why Watu wanashitakiwa kwa Kutokuhesabiwa??

    Nafikiri unachukuliwa umekataa kuhesabiwa pale karani wa sensa anapokuja nyumbani kwako wakati ukiwepo lakini ukakataa kumpa ushirikiano........hata kama muda wa zoezi zima haujesha!
  12. S

    Kwanin baadhi ya maneno ya kiswahili hayaandikwi kama yanavyotamkwa???

    Hivi neno 'nchi' linapswa kutamkwa 'chi'?
  13. S

    Siri za Uchunguzi wa Tukio la Dkt. Ulimboka zaanza Kuvuja

    I dont think this saga can be easily spinned. Mbona hakuna utata juu ya wahusika! Wanajijua na wanajua kuwa tunawajua.
  14. S

    Rais Kikwete kuhutubia Taifa...

    Itakuwa saa ngapi? Sijasikiliza taarabu/mipasho muda mrefu!
Back
Top Bottom