Search results

  1. KUSHOKA

    Nimekutana na kitu cha ajabu leo, kimenishtua mimi na nilio kuwa nao

    Kuna babu #Nyakanazi yupo vizuri mpaka kesho.... mtembelee
  2. KUSHOKA

    Makinika! Sio kila changu ni binadamu

    Mstaafu mstaarabu kabisa
  3. KUSHOKA

    Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu hamkujipanga?

    Mi niliona miyeyusho nikaachana nao
  4. KUSHOKA

    Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

    Ajari za moto kama huu zitaishia kuchukuliwa kama ajali zingine tu.... tujitathimini
  5. KUSHOKA

    Kitila Mkumbo: Kikwete mweledi pekee mchakato wa Katiba

    Hili andiko ukilileta hapa Leo unaliona ukakasi wake
  6. KUSHOKA

    TBC imemuita nani hamnazo?

    Mambo ya mwendazake yanaendelezwa huku
  7. KUSHOKA

    Job Ndugai bado una nafasi ya kutubu na kujirudi

    Mzee wetu huyu kakengeuka pakubwa sana... sema wakati utamhukumu tu maana muda ndiye hakimu wa haki na asiyevunja agano lake.
  8. KUSHOKA

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Mazoezi. Vyakula lakini vyema uonane na wataalamu wa afya usikimbilie kutumia vumbi la Kongo la dawa zingine zinazofanana na hizo
  9. KUSHOKA

    Wananchi, Wanafunzi na Zimamoto washirikiana kuzima moto Mlima Kilimanjaro

    Mamlaka husika zihusike kikamilifu.. asubuhi Mr Allan Kijazi anahojiwa na Azam TV wala haoneshi kushitushwa na hali inayoendelea... wajitolee na wakawajibike
  10. KUSHOKA

    Kijana unayeanza maisha usinunue pikipiki kama usafiri wako, utaondoka mapema

    Uko sahihi.... pikipiki zinatupumbaza sana
  11. KUSHOKA

    Diamond Platnumz kawapeleka wafanyakazi wake Wasafi Village baada ya kufungiwa kwa siku 7

    Wacha wapumzike kisela na si mbaya wakikulana maana wote wakubwa hao
  12. KUSHOKA

    Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

    Ongezea na wahudumu wa gesti ama lodge na zaidi hotel
  13. KUSHOKA

    Tundu Lissu the game changer, you deserve the medal

    Itoshe kusema ni "Game changer "
  14. KUSHOKA

    Maamuzi Magumu: Nimeamua kuwa baba wa mtoto wa rafiki yangu

    Maamuzi sahihi..... kwa watanzania social father matters than biological father... kuna pahala mi pia nishachukua jukumu hilo na mtoto kwa sasa ana miaka 11.... yupo darasa la 4 na anaendelea vyema... akikua nitakuja kuzungumza nae Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
  15. KUSHOKA

    JamiiForums Usiku wa manane

    Ndo marejeo ya ki'home home ...... pisi kali siyo zote zinaushirikiano zingine zibaki kuzi'view picha tu.... Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
  16. KUSHOKA

    Uchaguzi 2020 Wafahamu baadhi ya Watia nia ya Ubunge wa CCM ambao hawakushinda katika kura za maoni lakini wamepitishwa kugombea katika majimbo yao

    Shinyanga mjini matokeo yalikuwa kama ifuatavyo: 1.Stephen Julius Masele - kura 152 2.Jonathan Manyama Ifunda - kura 65 3.Gasper Kileo - kura 51 4. Patrobas Katambi 12 [emoji736][emoji736] Hii ndio siasa!! Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom