Search results

  1. B

    Live from Brazil: Kikwete Salutes Maximo

    Acheni fitna na majungu kwani yeye ameenda kutembea kule au amekwenda kikazi lazma mtofautishe ziara ya kikazi na binafsi. Msikalie majungu tu kumsema vibaya Rais wa nchi huko ni kukosa heshma tena inawezekana hata wazazi wenu hamna heshma nao kama mnafikia kusema maneno hayo sidhani kama...
  2. B

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Kutumia kigezo kuwa serikali haina dini sio suluhusho la msingi, acheni jamani kujadili mambo msiyokuwa na elimu nayo hebu fanyeni uchunguzi UK,S,AFRICA, na nchi zingine ambazo watalaam wetu wa sheria walitumwa huko kuangalia utendaji wa mahakama ya kadhi mbona mnakua na khofu kubwa sana wakati...
  3. B

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Lazma unapojadili mada uwe na mifano hai sio kukimbilia ushabiki , Kuhusu Iran nadhani hufuatilii habari kwa umakini yeye Irani amesema anatengeneza Nyuklia kwa maslahi ya Taifa lake hasa upande wa uzalishaji . Sidhani kama unaushahidi kua amesema atalifuta taifa la Israel? ila navyoelewa mimi...
Back
Top Bottom