Hii ya leo kali.nshasema tuliingia mkenge na hawa jk na ccm.nyerere alitwambia kuwa jamaa hajakomaa kiakili tukapuuza.ndugu zangu watz,tusipochukua maamuz magumu kama ya wamisir, nchi yetu iko hatarini.jk hana nia njema hata kidogo na nchi hii.ameamua kuitelekeza.nasis kama tuna muunga mkono...
Sikia wa ndg,ukimuona mtu yuko ccm muogope sana.ukidhan nyani anaangalia kama binadamu,jaribu kumuachia shamba la mahindi uone.mnawakumbuka akina kilango,sita,sendeka,mwakyembe na wenzao.wamegoma kuachana na ccm licha ya kujifanya wanipenda tz kumbe wanapenda matumbo yao
Magamba walimuondoa tido baada ya kuona amekuja na viwango vya bbc,wakatukea jamaa anaitwa mshana,huyu ni tutusa hana lolote,anatete unga,lkn aangalie cku inakuja atalia na kusaga meno
Kuna ndg zangu wengine wanaamin kuwa akina sita,mwakyembe,kilango na sendeka wana dhamira ya dhati dhidi ya ufisad,niwambie ambao bado mnaiman na hao jamaa ondoa kabisa.kama kwel wangekuwa wanauchukia ufisad wangekuwa wameondoka ndan ya ccm kama mpendazoe.hao ni wanafik wakutupwa.walipanga...
Kwenye kampen arumeru nilisikia eti makinda hajaolewa,inawezekana anapoingia bungen anakuwa na mastress kibao kwahiyo yanaathiri kufikiri kwake na maamuzi yake pia.uthibitisho halis:leo kamuita mnyika eti jambazi lako' hii ni hatari,hatuna spika jaman
Makinda hii na aibu,kwel hujui kama WAMA ni taasis ya serikal au la?ama kweli mara hii tunaye spika bomu.ndo maana mnafiki sita alisema aliondolewa kifisadi kwenye kinyanganyiro
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.