Search results

  1. L

    Mashabiki wa Urusi wanavyoswitch habari ziende wanavyotaka wao na wasikilize wanachotaka wao (walidharau Mwiba mguu waanza kuoza)

    Tusidanganyane wala kudanganywa Russia 🇷🇺 sio Libya 🇱🇾. Kabla Russia haijarabishwa mchanga kama unavyotaka kutuaminisha litatokea balaa kubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa Duniani. Tuombe Mungu hii vita ishee isielekee kwenye point of no return between superpowers. Hakuna anaweza kusimama na Russia...
  2. L

    Kwanini ndoto ya CHADEMA ya muda mrefu ya kushika dola wananchi wameinyonga mpaka kufa (Part 1)

    Tume huru ya uchaguzi itakayo simamia uchaguzi huru na haki chini ya katiba mpya ndio itasema chama kipi kimekufa. Kabla ya hapo ni porojo tu
  3. L

    Watalii wapatao 1000 kutoka Ukraine wadaiwa kukwama Zanzibar

    Nchi gani duniani mkimbizi anakaa hotelini kwa gharama za nchi hiyo. UN wachukuwe hawa watu kwenye kambi za wakimbizi. Hata Poland hawajaweka mtu hotel sisi hiyo hela tunatoa wapi? Hebu tuacheni kujikomba kwa hawa watu
  4. L

    Ndoto hii ina maana gani? Je, ni walking dead?

    Ndoto yako ni ngumu Ila uwepo vitu kama rungu, nyundo na mti mkubwa ni ishara ya utawala au mamlaka .Ndoto Inategemea nani anaota ndoto moja inaweza kuwa na maana tafauti kutegemea na mtu aliota. Km wewe ni mtu una mamlaka ya kufanya maamuzi jiandae na mabadiliko utakapo hisi umewashinda adui...
  5. L

    Ndoto hii ina maana gani? Je, ni walking dead?

    ‘Ninamsifu Yehova, Mfalme wa mbinguni. Sasa ninajua kwamba Yehova ndiye Mtawala. Anawanyenyekeza wenye kiburi, na humpa yeyote yule amtakaye ufalme huo.’
  6. L

    Zanzibar ni nchi huru au ni sehemu ya Tanzania?

    Rabda utufafanulie mwenyeji ni yupi? kama jamii ina miaka 300 bado hajawa mwenyeji? Kama wenyeji ni waafrika weusi basi ndio 80% ya wazanzibari kama sio zaidi,kuna hofu gani kuitisha kura ya maoni wakaamua hatma ya Nchi yao. Je Jumbe alitaka serikali 3 ni muarabu wa Qatar 🇶🇦 ,Oman au Yemen 🇾🇪...
  7. L

    Zanzibar ni nchi huru au ni sehemu ya Tanzania?

    Watu waliofika Zanzibar 1734 kwa maneno yako Unawaita watu wa kuja tu Yaani ilipofika 1964 waliokua na miaka 230. .tukiaza hivyo hata wewe usikute ni Mrundi au Mnubi wa central Africa Kwa taarifa tu sultan Jamshid mama yake ni Mmanyema. Alie kuwa waziri mkuu aliepinduliwa ni Mpemba wa asili...
  8. L

    Zanzibar ni nchi huru au ni sehemu ya Tanzania?

    Sio sahihi Bunge likipata 2/3 ya bara na Zanzibar muungano unavunjika Tizama vizuri katiba ya sasa. Hata kura ya maoni ya wazanzibar inaweza vunja muungano tizama katiba ya Zanzibar. Kama mtaulinda kwa gharama yoyote hata kwa kumwaga damu huo si Muungano ni ukoloni are u proud to be colonial...
  9. L

    Zanzibar ni nchi huru au ni sehemu ya Tanzania?

    Tanganyika ina 1.Tanganyika inachangia kiasi gani ? Nielimishe kwa ushahidi 2.nini maana ya neno TanZania? 3. TRA ni nini? 4.Tanganyika bado ipo? Naomba kujuzwa
  10. L

    Matumizi ya hela za EU ni zamu ya Pemba

    Tanganyika kuna baadhi ya watu wana roho baya . Yaani matamanio yao Zanzibar sijui iweje yaani hawataki hata maji ya kunywa yapelekwe Zenji. Samia /Hussein please give Zanzibaris referendum on this nonsense called union It will help to bring this to any end. Na tutaheshimiana
  11. L

    Lissu na CHADEMA, mnatatizwa na busara zaidi

    leo Mbowe anakesi ya kujibu . Leo aliepiga lissu risasi hajulikani. Leo nimemsikia Makamo wa kwanza Zanzibar Othman anasema haoni utashi wa kisiasa CCM kutekeleza mabadiliko walio kubaliana. CCM imesha panda kiburi kikubwa sana. Busara yao ni kutawala. Uzalendo ni kutii bila kuhoji ...
  12. L

    BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

    Kuhusu kulipwa sitahiki zake za Kibunge
  13. L

    BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

    Kwa hiyo Lissu kaombwa sana kwa baruaa akutane na RAIS si ndio? 🤣🤣🤣🤣
  14. L

    BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

    CHADEMA mtawakuta ACT WAZALENDO huko kwenye siasa za maridhiano walishatangulia.
  15. L

    Wazanzibari ni Wazalendo kuliko Watanganyika, huku bara tunawaza Ufisadi tu!

    Subiri waje wanaoamini ili iwe nchi lazima uwe na watu million 60. Utasikia bora Iringa kubwaa
  16. L

    Mbona harakati za kuidai Zanzibar huru ni kama zimekufa awamu hii?

    Makundi yote mawili ndio wenye Zanzibar. Walio pinduliwa ni Wazanzibar Sultan Jesmshid baba na babu yake wamezaliwa Zanzibar wenye asili za kiarabu .mama yake ni Mmanyema kutoka Tanganyika (Tanzania bara) Alie kuwa Waziri mkuu Shamte ni Mpemba wa vizazi vingi. Walio pindua kuna wazanzibar...
  17. L

    Mbona harakati za kuidai Zanzibar huru ni kama zimekufa awamu hii?

    SWALI ELIMU NGANI Watanganyika Wamewazidi Wazanzibar. Eti elimu 🤣🤣🤣 ndio kwanza Samia anawajengea madarasa ya primary schools na matundu ya vyoo ni kweli sikumaliza chekechea
  18. L

    ACT Wazalendo kwafukuta; Hamad Masoud Hamad kuzungumza na vyombo vya habari

    To be honest huku mtaani watu wapo na OMO.(Othman Masoud Othman) Hawana habari na Hamadi Masoud ni wachache sanaaa hawawezi kukitikisa chama ACTWAZALENDO . Hizo ni hasira za mkizi tu Zanzibar itabaki ACT. Sioni CHADEMA ikipata nafasi kwa siku za karibuni hakuna dalili hiyo mtaani
  19. L

    Mbona harakati za kuidai Zanzibar huru ni kama zimekufa awamu hii?

    SWALI ELIMU NGANI Watanganyika Wamewazidi Wazanzibar. Eti elimu 🤣🤣🤣 ndio kwanza Samia anawajengea madarasa ya primary schools na matundu ya vyoo Duh
  20. L

    Mbona harakati za kuidai Zanzibar huru ni kama zimekufa awamu hii?

    HII NI MIEZI 8 Ilopita. Subirini Msiwe na haraka MUNGU pekee ndio anadumu MILELE
Back
Top Bottom