Serikali hadi leo hii haijato tamko kuhusu haya madampo kufunguliwa hali ni mbaya sana hata kwawenye sehemu za biashara kama mabaa na mahotel hali sio. good advise @ kabindi. Ila sasa wakuchukua huo ushauri na kuufanyia kazi ndo pagumu hapo.
Maajabu mengine jijini Dar es Salaam, katika pitapita yangu nimekutana na wananchi wanalalamika wanaitaji magari ya maji taka yafike kuwanyonyea vyoo vyao vimejaa na wenye magari wamegoma maana hawana sehemu yakumwaga majitaka maana madampo yamefungwa ghafla, madreva wamedai dampo la tabata...
Kavaa vizuri au vibaya haitusaidii sisi wananchi tunachojari ni mchango wake bungeni, wabunge wengi wanavaa vizuri misuti kwa misuti lakini wanaishia kusinzia bungeni nakukurupuka na NDIOOOOOOO hasijue hatakilichiongelewa yeye ni ndioooo tu.
Ukistaajabu ya musa....... Hiyo biashara ya samaki inaendelea kama kawaida na samaki wa aina hiyo hiyo mtaani
Sioni sababu yakuingiza samaki katika nchi yenye mito,ziwa na bahari.Sijui watoa vibari wanamaana gani katika ili swala.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.