Taifa lipo kwenye sintofahamu (Kwa mujibu wa mtoa mada), Mtu wa system anayejinasibu yupo Jikoni anatamani kulia!? Seriously !? Hisia (Emotion) na Mahaba zimetawala zaidi ya Profession.. Ndio, watu ambao kina Evarist Chahali wametuachia kwenye system hao.. Ndio level ya juu kabisa spinning na...
Ushauri Mzuri sana, maana naona kadri anavyoanzisha nyuzi anazidi kupanua loop hole ya kuongeza sintofahamu... Kwani ni lazima kuanzisha nyuzi... Kukaa kimya wakati mwengine ni busara... Il kama unakuja Public njoo na kitu kinachofikirisha zaidi. Kuwa kwenye system haimanishi tusitumie weledi na...
Najiuliza, hivi kulikua na umuhimu wa kuandika hii story!? Spinning and speculation gani imekusudiwa!? Je mmejaribu kupima Faida dhidi ya madhara ya hili andiko na sintofahamu zake!? Nimetumia neno Mumejaribu (Kwa sababu haupo peko yako, ni maamuzi ya group ambayo wewe umepewa jukumu la kuposti)
Mkuu wewe kiboko, yani anajaribu unamfikiria mtu mpaka unapita kilicho ndani ya ubongo wake.... Ni vyema, ila asiache kujifikiria na wewe, usifikiri kwa niaba tu!!
Heshima kwako mkuu. Tatizo lako wewe ni kwamba hukutaka kuunga mkomo juhudi tokea mwanzo. Ulianza kwa kujikita kwenye maadili ya taratibu ya kazi yako. Mpaka pale tulipojua Mayalla maana yake ni njaa ndio ukaanza kubadilika ilikua too late. Ila kwa sasa ulivyokua mpole, jinsi ambavyo zile nondo...
Mkuu, swali linabaki palepale. Je ulitaka aitwe nani!? Kumbuka hii ni mashindano ya wachezaji wa ndani!! .. Kama nchi Hatuzalishi wafungaji... Je kwenye league yetu, ulitaka mshambualiji gani amnaye anafanya vyema na hakuitwa!?
Alimaanisha nini sasa!? Amgezungumza alichomaanisha... Kuoa sio sababu, kwa mfano mimi naweza oa kabila fulani, lakini kutokana na tabia za ndugu wa mke, naweza kuchukizwa na tabia zao, na siku inaweza kunitoka mdomomi kua ... Daah jamaa anatabia kama Kabila fulani!! Huo tayari ni ubaguzi !
Nafikiri unatania... Unazungumzia Yanga au Barcelona mkuu. Hivi kwenye ule ufunguzi waliuza Jezi ngapi? Na kila jezi ni bei gani? Na walipata kiasi gani?. Yanga na Simba hao hao washabiki wao wanaolalamika kiingilio cha Elfu 5 kwenye mechi..Washabiki wangapi wana ambao wanakipato cha laki moja...
Wazo zuri Faiza, ila ingekua na nguvu sana iwapo tungejua Mtazamo wa nchi, Baba wa nchi na Mwenyekiti wa SADC pia ni upi.. Otherwise, msimamo wa mtu mmoja, au Club, hizo ni entity ndogo sana kwa issue kubwa kama ya South... Nafikiria tu kwa sauti, ila mitazamo tofauti ni Ruhsa
Tokea hizi Club zimeanzishwa (Simba na Yanga) zimeongozwa na Wenyeji kwa Miaka kadhaa! Je tuna lipi kubwa la kujivunia ukiondoa yale ambayo Karume ameyafanya kwenye kwa kuwapa msingi wa majengo yao... Kama tunataka kuona matokeo tofauti, ni vyema pia kutumia njia tofauti... Usitegemee matokeo...
Wameshajaribu huko na kuona kua sio rahisi kama tunavyofikiria.. Unahitaji kuwa na mipango na mitazamo hasi. Sio wasomi wazima wanakuja na argument ya Rangi za nembo. Kama plan ndio hizo hata Mzee wangu Akilimali angaweza kuongoza team bila ya shaka
Wale ni wafungwa kama ambavyo umeshazungumza.... Tayari wako under influence ya kitu fulani.. Unafikiri mfungwa anafikiria nini zaidi ya uhuru wa kutoka tu jela? Na hiyo ndio priority pekee kubwa kwa mfungwa yoyote... Ushawahi kukaa mahabusu japo kwa nusu saa!? Kama jibu lako ni hapana, basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.