Search results

  1. Tanzania Mpya

    DOKEZO Kwanini Tiketi Mtandao haitumiki?

    App ya tiketi mtandao ilizinduliwa ili kumsaidia abiria kuchagua basi, kuchagua siti na kulipa nauli moja kwa moja mtandaoni yeye mwenyewe bila kusumbuka kupiga simu au kwenda kwa makampuni ya mabasi. Lakini App hii au mfumo huu haufanyi kazi, na ni muda mrefu hakuna marekebisho wala maboresho...
  2. Tanzania Mpya

    Dereva huyu wa gari la mwendokasi aonywe!

    Nilipanda basi la Mwendo Kasi kutoka Kariakoo kwenda Ubungo asubuhi hii kwenye saa 2 na robo hivi. Nimemshangaa Dereva wa basi namba T144DGW anavyoendesha kwa speed kubwa na kutoacha nafasi ya kutosha kati yake na mwenzake aliye mbele yake! Anafanya michezo kama dereva wa daladala, anamfuata...
  3. Tanzania Mpya

    Ushauri kwa Paul Makonda

    Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Paul Makonda, naomba nikupe ushauri wangu kidogo. Naomba uliangalie suala la usafiri ktk jiji lako la Dar es Salaam. Kwa sasa hali ilivyo ni vigumu sana kwa magrupu maalumu kupata usafiri (daladala) nyakati za asubuhi na jioni. Jamii ya wasafiri au...
  4. Tanzania Mpya

    Akili ya Mzungu na Mwafrika

    Hivi hawa watu wawili wana kiwango sawa cha akili? Kiasi cha ubongo ktk kichwa? IQ yao? Hivi ni kweli kwamba tamaduni zao ndio zinazowatofautisha na sio akili? Kwa nini Mwafrika hafanyi mambo makubwa kama Mzungu? Naomba wale wenye kujua sayansi ya maumbile ya ubongo wasaidie hapa maana huwa...
  5. Tanzania Mpya

    Hivi hii imexpire au?

    Baada ya kuanza kunywa soda hii nikashtuka kuona kwamba haina gesi ya kutosha. Ni mara ya pili leo naletewa soda lakini haina gesi ya kutosha. Maandishi yaliyopo ktk chupa, siyaelewi vizuri. Naomba wanaojua wanisaidie, haya maandishi yanasemaje kuhusu uhalali au ubora wake. Je, imexpire au?
  6. Tanzania Mpya

    Wazazi na watoto

    Hivi kwa nini watoto wa leo wengi wao hawasikii? Wazazi wanapata shida sana kuwalea sio kama ilivyokuwa rahisi kuwalea watoto wa miaka iliyopita. Na kizazi hiki kitawaleaje watoto wao? Watoto wao sijui watakuwaje?
  7. Tanzania Mpya

    Tafakari kuhusu hili...

    Unaamka kila siku, unakwenda ktk shughuli zako, unarudi, unalala! Kesho tena unafanya hivyo hivyo, na unawafundisha watoto wako kujihangaikia nao wanaondoka wanakwenda shule na kurudi jioni na wanalala! Nao wataendelea na watakuwa na nyumba zao na watawafundisha watoto wao kujihangaikia! Hivi...
  8. Tanzania Mpya

    Hali ya Mzee Small

    Ni kweli Mzee Small kapona? Nimumuona ktk TV ya Trenet inayomilikiwa na Efatha akishuhudia kwamba amepona baada ya kuhudhuria maombi. Sina hakika jambo hili limetokea leo au lilitokea hivi karibuni au la. Kuna mwenye details zozote, tafadhali?
  9. Tanzania Mpya

    NBC Wamerekebisha gharama!

    Guarana za kutumia huduma za NBC Wamerekebisha! Je, kulingana na hili tangazo Lao wameshusha?
  10. Tanzania Mpya

    Kuna usalama CRDB BANK?

    Nilihitaji kuingia ktk website ya CRDB internet banking, cha kushangaza vinafunguka vitu vingine kabisa na wala huduma za kibenki sikuweza kuzipata. Kuna usalama kweli, au wataalamu wameshachakachua? Wasije wakanasa namba zetu za siri tukaibiwa jamani. Mwenye kufahamu tatizo jamani, atusaidie...
  11. Tanzania Mpya

    Katiba inasemaje: Rais akifukuzwa uanachama na chama chake?

    Wah, sijui kama katiba inaelekeza kuhusu hoja hii... Mbunge akifukuzwa na chama chake ataendelea na ubunge wake. Je, Rais itakuwaje? Mliopitia rasimu, vipi kuna maelekezo yoyote? Na je akihama chama wakati yupo madarakani? Naomba ufafanuzi wakuu. Na kama haisemi chochote, je kuna haja ya...
  12. Tanzania Mpya

    Baba wa Taifa

    Wakuu, kwa nchi yetu Kula mtu anajua Mwl. Nyerere ndiye baba wa Taifa na kweli anastahili sifa hiyo. Je, kwa nchi kama Uganda, ni nani baba wa Taifa hilo, kwa kweli sijawahi kusikia. Au nani mwenye vigezo na anayestahili kuitwa Baba wa Taifa? Naomba kuelimishwa tafadhali.
  13. Tanzania Mpya

    Ajali maeneo ya Tabata

    Jamaa alikuwa anavuka barabara pale Tabata Matumbi darajani ndipo akagongwa na Lori na kuburuzwa kama mita 10 hivi! Mungu mkubwa bado ni mzima lakini mguu umeharibika vibaya na kichwani kaumia pia. Jamani tuwe waangalifu sana kabla ya kuamua kuvuka barabara.
  14. Tanzania Mpya

    Kusikiloiza Bunge Live

    Wadau, naomba kujua link ambayo kwa sasa nitaweza kusikiliza bunge live, tafadhali.
  15. Tanzania Mpya

    TBC1 hawaeleweki

    TV yetu ya amma haijatutangazia kabisa yaliyojiri leo Dar, kuhusu maandamano ya Chadema. Kwa nini hawa jamaa wanatunyima habari? Wametuchagulia tuone habari za CCM tu! Hivi TBC1 wanajua wajibu wa chombo cha umma?
  16. Tanzania Mpya

    Vodacom kuna tatizo

    Toka usiku hakuna mtandao, nikafikiri ni simu yangu tu. Lakini asubuhi nikacheki na simu ya wife nayo pia haina mtandao. Kuna tatizo gani huu mtandao wa Vodacom? Je wenzetu hapa Dar mnapata mtandao?
  17. Tanzania Mpya

    Mabasi ya Luxury

    Mabasi yanayoitwa luxury hapa Tanzania yanashangaza. Hayana hata huduma za tofauti! Viti ni vile vile vya kubana, ukivilaza unambinya mtu wa nyuma yako! Angalau kenya ndani ya mabasi kama hayo wana huduma za internet (wi-fe), na viti special pale mbele (VIP) ambavyo bei yake ni kubwa kuliko...
  18. Tanzania Mpya

    Said Kubenea yuko wapi sasa?

    Wadau ni siku nyingi sijasikia kuhusu mpambanaji Kubenea. Mwenye kujua sababu za ukimya huu, pls atujuze, yupo nchini au yuko wapi?
  19. Tanzania Mpya

    Jeshi la Polisi ni kwa masilai ya nani?

    Kila nikitafakari kuhusu jeshi la polisi la Tz na kulilinganisha na ya wenzetu nje, nashindwa kuelewa kama kweli Tz tuna mlinzi wa usalama wa raia na mali zake. Jeshi hili halitufai, limejaa vituko vipya kila siku, wanaua raia, wanapora mali za raia na nchi, wanaawaacha majambazi watambe wakati...
  20. Tanzania Mpya

    Jirani yetu limbukeni anatuboa

    Tabia zingine bwana sijui ni za asili? Tuna jirani yetu anatusumbua sana, yaani anasikiliza muziki kwa sauti kubwa sana na hana usiku wala mchana! Anaanza saa 11 asubuhi na anaweka sauti kubwa muda wote mpaka saa 5 au 6 usiku, yaani kelele tu. Yeye na mke wake wote wako hivyo na wana watoto...
Back
Top Bottom