Search results

  1. A

    mini iPads needed for hiring by NGO ASAP

    Hi all, an international NGO with offices in Dar inataka kukodisha mini iPads 13 haraka kwa ajili ya data collection (not later than 11th July). Kama unazo piga 0763140247. Rates and all else tutadiscuss. Again, this is urgent. Thanks!
  2. A

    Msaasa kuhusu ku-renew hati ya kiwanja (renew of title deed)

    Wanajamii, habari! Nimegundua kuwa watu wengi huwa wanajisahau ku-renew title deeds zao pale ambapo muda wa kukodi(lease) umeisha. Ninahitaji information hizi kutoka kwa mtu ambaye binafsi ameshawahi ku-renew: 1. Procedures (hizi ningeweza kupata wizara ya ardhi but nataka taarifa kutoka kwa...
  3. A

    Msaada, Sheria ya Ardhi

    Habari wana JF, Natumai mpo vizuri wakati huu wa "mapumziko". Nina swali kuhusu sheria za kuendeleza ardhi. Tunafahamu kuwa mara nyingi hati ya umiliki wa ardhi inapotolewa, mmiliki hupewa muda maalumu (mara nyingi miaka mitatu) awe ameendeleza ardhi hiyo. Swali langu ni: ni wakati gani ardhi...
  4. A

    Bmw x3 sports limited edition for sale by owner- imported on may 2015

    Habari Wakuu, The car is BMW X3 sports- limited edition Year- 2005 Mileage 90,000 km cc 2400 Luxurious leather interior, CD changer, TV, AC and with a royal look and feel. I have just imported this car, got in Dar on the 4th of May 2015. Drives superbly and is good as new. Price is...
  5. A

    Bmw x3 sports limited edition for sale by owner- imported on may 2015

    Habari Wakuu, The car is BMW X3 sports- limited edition Year- 2005 Mileage 90,000 km cc 2400 Luxurious leather interior, CD changer, TV, AC and with a royal look and feel. I have just imported this car, got in Dar on the 4th of May 2015. Drives superbly and is good as new. Price is...
  6. A

    Just how liable is a Limited Liability Company (LLC)?

    Habari wana JF. Naombeni msaada wenu kwenye scenario hii: Kuna LLC ina two Directors, say A and B. A holds 90% and B holds 10% of the shares. Now, B has personal loans and her creditors are after her. Swali a) Can a court order an injunction on the LLC's assets to pay B's personal loans? b)...
  7. A

    Minada ya mbuzi

    Mambo vipi wakuu. Ninaomba anayefahamu minada ya mbuzi katika mikoa ya jirani especially Tanga, Morogoro (?), na Dodoma hasa siku za Ijumaa, Jumamosi, na Jumapili anifahamishe please. Kama una information nyingine yeyote kuhusu hili ambayo unadhani inaweza kusaidia unaweza kuchangia. Suggested...
  8. A

    Seinlanguage

    Enjoy!
  9. A

    Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

    Mambo vipi wakuu, Nimeamua kujikita kwenye biashara ya daladala na bado nipo kwenye hatua ya utafiti. Nimepitia threads nyiiingi sana humu na watu wengi wanaoipiga vita hii biashara wanakuwa na hoja za "Biashara pasua kichwa", "Madereva watakunyonga" n.k bila kuelezea kiundani changamoto...
Back
Top Bottom