Search results

  1. munisijo

    Hakuna anayeweza kuvumilia umaskini wako maisha yote ni vile tu hana pakwenda

    Very well said .... Na hii ni sana katika nyanja kuu 2 Katika familia i.e. Mtoto, Ndugu, Rafiki Kutoka kwa mwanamke kwenda mwanaume coz women date up wakati men date down Kwenye NDOA hali ni tofauti, huku ni mpaka kifo kikutenganishe so people na hasa MEN should chose wise.
  2. munisijo

    Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

    Pole sana, tough situation; that force imprisonment anakufanyia na si sawa lakini penye njia pana nia As long as humpendi, mwambie ukweli na muoneshe kuwa humpendi kwa vitendo sio ile akipika unajilamba lol Easy way: Ondoa ''show'' kwenye menu sio ukiguswa tu umekiwasha, ukizubaa...
  3. munisijo

    Ndugu 3 washiriki kumpiga mdogo wao hadi kumuua

    Thanks for the news Nilikuwa naitafuta sana hii habari kwa urefu huu, angalau nimepata mwanga Umeieleza kwa uzuri na inaeleweka Asante
  4. munisijo

    Sitakuja kurudi kliniki za chanjo na maendeleo ya makuzi ya watoto peke yangu bila mke au msaidizi wa kazi

    You did it for your own kid and your wife, nothing else should matter Mimi nimewahi mpeleka clinic peke yangu na nilipata support kubwa sana kwa wamama wote na wahudumu, for the first time wamama walinipisha kwenye foleni, nikawa wa kwanza na kunisaidia kufanikisha zoezi nikasepa fasta. Mama...
  5. munisijo

    Mtafiti: Mwanamke ana uwezo mkubwa wa akili kushinda Mwanaume

    Bro You are in love, kama sio penzi jipya basi umeoa karibuni Utafiti wako haupo based na data In general, men are the 1 who run the world in everything isipokuwa kuzaa tu
  6. munisijo

    Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

    Pole na hongera at the same time 30's ni muda sahihi sana kuanza kuwa worried na somehow nafikiri ulitakiwa kuanza kuwa worried even after 27's. I am a men, married and I think am fine for now ... but hata kwa mimi, kupata mke haikuwa rahisi na wala haikuwa kwa nguvu zangu, was just a fate and...
  7. munisijo

    Serikali piga marufuku mrundikano wa abiria kwenye Daladala

    Nakumbuka enzi za Mwaibula hali ilikuwa ni nzuri sana, jamaa daladala zote zilikuwa zinamheshimu na huduma ilikuwa bora sana
  8. munisijo

    Kwanini ni lazima nioe?

    NDOA ni suala la makubaliano na ''hiari'' kati ya watu wazima wawili wa jinsia tofauti. Hakuna haja ya kukushawishi ama kukukataza, kuoa ni hiyari yako. NDOA ni zawadi kutoka kwa Mungu, kutaka kuoa sio kuoa ... unaweza kutaka na usioe. Be you and enjoy your life
  9. munisijo

    Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Mchango wangu ni kama ufuatavyo ... Yote uliyoongea ni sawa kwa kiasi kikubwa lakini sio kigeni, ukiangalia kusudio hasa la ndoa ni kutimiza mapenzi ya Mungu na si kupata raha, kwa wakristo - biblia ipo wazi kabisa kwamba: (1) Waefeso 5:31 BHN “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na...
  10. munisijo

    Naumia sana ninaposhindwa kuwa msaada kwa wazazi wangu

    Hello Kwanza nikutie moyo kwa yote unayopitia na nikukumbushe tu 1. Kufanikiwa ama kufeli ni neno mtambuka kati ya mtu na mtu (kufeli kwako kwa mwingine ndio mafanikio and vice verse is true) na kwa kuanzia kabisa, kabla hujaangalia magumu unayopitia, hebu jaribu kuangalia yale mazuri na...
  11. munisijo

    Nani angekubali kuja duniani kama angeelezwa juu ya kifo?

    I meant ..... Tatizo la kuogopa kifo limeletwa na binadamu kwa kukitumia kama fimbo kuadhibu wengine otherwise kifo ni kitu cha kawaida na very natural, kwa sisi wote kuwahi ama kuchelewa kitakuja.
  12. munisijo

    Nani angekubali kuja duniani kama angeelezwa juu ya kifo?

    Unaulizwa ukiwa wapi kwa mfano? Nadharia ya kuzaliwa na kifo ni ile ile, kama ambavyo hukujua ulivyo zaliwa hivyo hivyo hutajua ukifa. Tatizo la kukifanya kifo kama jitu kubwa na la kuogofya limeletwa na binadamu wenyewe kwa kukitumia kutisha, kwamba kinauma na kunyamazisha - kifo hakiumi na...
  13. munisijo

    Nahitaji kupungua Mwili/ Kilo. Naumia sana

    Mkuu Umeanza ku panic wakati sahihi kabisa so kazi ya kupungua itakuwa rahisi zaidi Kupungua start from the will as sio kitu kirahisi but kanuni kuu ni 2 tu 1. Punguza sana kula, kunywa maji sana, matunda na mboga mboga acha kabisa sukari na wanga 2. Mazoezi ni lazima kwenye kupungua vizuri...
  14. munisijo

    Ajali: Tuambiane ukweli dhahama hili lituepuke

    Ajali hazina kinga katika mazingira yote Nikuongezee: 3. Usisahau, lipo pia kundi kubwa sana la ajali linalosababishwa na ubovu na kuwa chini ya kiwango wa miundombinu yetu i.e. Ubora, Kukosekana kwa alama. 4. Mwisho, ubora wa magari yenyewe pamoja na vifaa kama matairi, oil na zaidi ''wear...
  15. munisijo

    Ajali: Tuambiane ukweli dhahama hili lituepuke

    Umeanza vizuri sana ila kuna sehemu hazikuwa za lazima 1. Wahitimu wa chuo kikuu still ni binadamu, ajali nyingi zinasababishwa na uzembe wa kibinadamu ambao over the period of time, wote tunao. 2. Kuna maeneo mengi sana hapa nchini penye ruhusa ya kuendesha gari zaidi ya speed 80 kmh, zipo...
  16. munisijo

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Asante rafiki mzuri ... Kweli kizuri kula na nduguyo, nimekaribia.
  17. munisijo

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Unauzaje complete injini ya TOYOTA CAMI 2002 (J122E)?
  18. munisijo

    Msaada wa haraka: Mke wangu tumegombana usiku, asubuhi hii anatafuta utaratibu wa talaka tugawane mali

    Sasa si ndio wife anachotaka kufanya aiseeeeeee ..... Wife anataka kusepa now Amwache aende basi mbona kaja tena hapa kulia kulia Lol Ushauri wangu: - Mke anapigwa kwa upande wa kanga tu.
  19. munisijo

    Kwa waliosoma Kigonsera Ruvuma

    We might be classmate Nilikuwa block leader wa chui kwa muda mfupi katika kipindi hicho na winga teleza. Namisi sana "vimbolo" aiseee
Back
Top Bottom