Search results

  1. D

    Kichaa aua wanafunzi Kiluvya!!!!!!!

    kaka ukisubiri kila kitu mpaka ifanye serikali nafikiri kutakuwa hakuna sababu ya kila binadamu kuwa na ubongo wake.
  2. D

    Vifo vyatunyemelea matumiaji wa simu.

    beeep kwa kwenda mbele.
  3. D

    Kesi ya Lulu imeahirishwa!

    unajua kuongea kitu ambacho huna uhakika nacho ni ungo.kama kweli inakuuma watu wnatafuta wanaofahamu ukweli wewe umekaa kimya.halafu unageuka hakimu.acha 'vijiwe laws.'
  4. D

    Kesi ya Lulu imeahirishwa!

    eeehh ndugu yangu mtuhumiwa akiwa mahabusu siku 14 sio ajabu. sheria haina ushabiki.jaribu kuuliza basi kabla ya lawama.
  5. D

    Lulu kamtaja Ali Kiba ndiye aliyempa lift baada ya ugomvi wake na Kanumba

    Kwani anayetafutwa ni aliyempa Lift au aliyesababisha kifo?
  6. D

    Lulu kamtaja Ali Kiba ndiye aliyempa lift baada ya ugomvi wake na Kanumba

    uliza wauza vocha wote Tabata watakupa ukweli.
  7. D

    Lulu kamtaja Ali Kiba ndiye aliyempa lift baada ya ugomvi wake na Kanumba

    mbona kumpa lift mtuhumiwa kama hujui amefanya kosa sio issue.
  8. D

    Hivi nani mjinga, kati ya trrafic(polisi) na abiria/dereva wa basi?

    Nilikuwa nasafiri siku moja kutoka Dar kwenda mbeya kwa Basi la Kampuni moja hivi.(Naomba nisitaje hiyo Kampuni).Kutoka kituo kikuu cha Mabasi Ubungo mwendo ulikuwa mzuri kabisa. Nasema mzuri kwa sababu ulikuwa ndani ya Kilometa 80 kwa saa. Nilifurahi sana kwa sababu mimi ni muoga sana wa...
  9. D

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    +255 ndugu yangu she was buyying time to frame up a defence. hata hivyo ni haki yake.
  10. D

    "Ujinai" wa Lulu katika "mauaji" ya Kanumba (R.I.P)

    nimependa ulivyochambua hili tukio. katika eneo ulilolipa (2) umeeleza kuwa marehemu ndiye aliyekuwa mshari,lakini msingi wako mkuu kwa kusema hivyo ni kwa sababu alimfuata nje na kumrudisha ndani kwa ajili ya mahojiano. sidhani kama kumfuata mtu unaemtilia shaka juu ya jambo fulani na kutaka...
  11. D

    CHADEMA kutoa uamuzi wa maamuzi ya Mahakama Jumamosi NMC Arusha

    atigi,kwanza habari yako. Mimi huwa napenda kuwa muwazi kwa sababu ni njia nzuri tu ya kumsaidia mtu. niombe samahani in advance kwa wale nitakao kuwa nimewakwaza. Naomba mnielimishe kwani nami napenda kujifunza.sina uhakika kama nitakuwa nimechelewa au la. Hoja zako umezigawa sehemu nne nami...
  12. D

    Kifo cha Kanumba: Ni uzembe tu? Sio Lulu!

    bht umeji- mislead, madaktari watakataa kama watakuona kuwa una uwezo wa kwenda kuchukua hiyo PF 3 na hujafanya hivyo. na sio wanakataa, hapana. wanatia shaka juu ya kuumia kwako. jaribu kufikiria ajali ya majeruhi zaidi ya 20 walio na hali mbaya, uzoefu unaonyesha kuwa wanatibiwa kwanza PF 2...
  13. D

    Wazanzibari wataka ajira kwa Watanganyika huko Visiwani ikomeshwe; wagonga mwamba!

    kama ni kidonge hiki kinatibu UKIMWI. unajua nyoka hawezi kuficha ulimi.
  14. D

    Lulu na Ngwala ya ukombozi

    Mizizi naona umejisahau.kifupi haya ni madhara ya wakina dada au kina kaka kugawa namba za simu kwa kila anayeomba. unapotoa namba ya simu utegemee kupigiwa.KAMA UPO SINGLE haina tabu.ukiwa kicheche saaaana utakula na kuku aliyetiwa sumu.
  15. D

    Kifo cha Kanumba: Ni uzembe tu? Sio Lulu!

    Sheria na mtizamo binafsi tofauti.
  16. D

    Kifo cha Kanumba: Ni uzembe tu? Sio Lulu!

    Catch-22 yupo sahihi kabisa. kama majeruhi/mgonjwa ana uwezo wa kufika polisi basi atakwenda polisi na kuopewa PF-3,kama majeraha ni makubwa madaktari wanajua watatoa tiba na kuwahimiza ndugu au marafiki kupeleka taarifa polisi. PF 3 inasaidia kutambua kama majeruhi kaumia katika hali ya kawaida...
  17. D

    Kifo cha Kanumba: Ni uzembe tu? Sio Lulu!

    Wanajua sana. ndio maana unaona wanawapokea majeruhi hata 100 wa ajali bila ya PF-3.
  18. D

    Kifo cha Kanumba: Ni uzembe tu? Sio Lulu!

    Umegandisha mno mawazo yako. kama mgonjwa ana hali mbaya anapokelewa Hospitali, PF-3 inafuata baadae baada ya taarifa kufika polisi. kwa kukusidia,ukiona mtu yupo serious,wengine wanampleka Hospitali na wengine wanakwenda Polisi.
  19. D

    Kifo cha Kanumba: Ni uzembe tu? Sio Lulu!

    Ni mara yangu kwanza kabisa kutoa hoja. ingawa hili nalo sio suala la msingi kuwa ni mara ya kwanza.Kwa ufahamu mdogo nilionao nafahamu kuwa, kama utasababisha kifo cha mtu katika hali yeyote ile,kujilinda wewe au mtu mwingine, you must be liable for that.ni kwa nini ulifanya hivyo, ndio...
Back
Top Bottom