Paul Biya Cameroon $601,000
King Mohammed VI Morocco $480,000
Jacob Zuma South Africa $272,000
Jakaya Kikwete Tanzania $192,000
Abdel Aziz Bouteflika Algeria $168,000
Teodoro Nguema - Equatorial Guinea $150,000 (Estimate)
Uhuru Kenyatta Kenya $132,000
Hassan Sheikh Mohamoud Somalia...
mwenye kuweza kunisupply power supply inayowasha display ya lexmark x854
au kunielekeza wapi nawezakupata nitashukuru.
Mafindi kibao wamecheza nayo bila msaada bawa pekee ni kupata spare yake.
au mtu mwenye kuweza kuiagiza toka nje ni altetnative nyingine nnayotegemea.
By FISADI-ORIGINAL
Kiburi, jeuri na tamaa ya madaraka inapozidi ndo matokeo yake haya.Who is Zitto, Rais, Waziri mkuu?
Ofisi yake inatoa Press release ya safari zake?
Zito anaenda kubaya na uchu wa madaraka.
Huyu mtu ni hatari.Inabidi ajiangalie angalau awe myenyekevu kidogo
anajiona Rais wa...
hali inatisha yaan
kila siku tunaibeep atm vumbi
tukiuliza mara oooh n tatizo la kibenki hasa crdb ambayo haina historia ya ucheleweshaji mishahara.
tena hata zile sekta nyeti baadhi yao bado doro
tunakomaje?
hali inatisha yaan
kila siku tunaibeep atm vumbi
tukiuliza mara oooh n tatizo la kibenki hasa crdb ambayo haina historia ya ucheleweshaji mishahara.
tena hata zile sekta nyeti baadhi yao bado doro
tunakomaje?
maskini
wahudumu wa afya wanaomhudumia huyu John Tendwa wako kwenye mgomo nini?
sina shaka huyu mzee hajapewa dawa zake za kichaa (mental illness) kwa siku 3 mfululizo!
au kabadilishiwa dawa baadaya kuona hizo dawa hazimsaidii?
kwamba siku hizi anatumia quazepam na secobarbital?
jaman jaman...
NYIE MWASEMA HUKO?
Hapa hapa Dar pua na mdomo na huduma na ofisi zote
Nyumba kibao watu hawajahesabiwa pamoja na kusubiri kwa shauku kubwa olas
karani wa sensa alikuwa akipita na kuchagua nyumba kadhaa na nyingine akaziacha
ndani ya makabrasha yake alikuwa na ramani yenye majina/namba ya nyumba...
mkwawaaaa
acha hizo,
ukweli wa mambo hayo daima huthibitishwa na reliable source na evidence au habari liliyoshiba.
unataka udhaniwe hukujiandaa kuanzisha uzi huu?
weka picha kama ulihudhuria, ongeza taarifa zaidi kama ulishudia au hata kama umehadisiwa
laa! hauna usiwe unaanzisha uzi kwa style...
Mmmmh umeshakuwa mtabiri au nabii? maana umekwisha ijua mipango ya Mungu hata kabla haijatokea na usivyopenda kumtumikia Mungu au labda kwa kuogopa kwako? mmmh!
SIJAFUNULIWA KUWA mke yupo JF bali ninatafuta kama unavyoweza kutafuta sehemu nyingine yoyote ila sharti Wokovu; upo mdada?
but be...
wandugu
niliahidi toka moyoni mwangu kwamba nimngejibu kila mchangiaji lakini naona naanzakuchemsha
hata hivyo nitajitahidi kufanya vile kwa kila mtu atakaye nigusa
hatahivyo, kunamichango mingine ambayo majibu yake sahihi ni kukaa kimya
mmh sasa wewmaonekana utakuja kuwa mwijilist machachari unayetumia vifungu vya biblia kuhararisha yale unayoyataka
maana unavyojicganganya mwenyewe hata nimeshindwa nikujibu au ni comment kwa lipi
hata hivyo siku moja neema ya Mungu itakushukia utaja yafaham mambo yote hayo kwa usahihi
hata mm...
aksante sana bwana kiplagati kwa mausia yako
inaonyesha huwaamini wasomaji wa jf kabisa na kama anaweza kuwepo mwenye hekima na aliyeokoka kama wewe
hata hivyo nauchukua ushauri wako kwa tahadhari kubwa na naahid kuupokea moyoni kwa utendaji
cha motoooooo
wewe umeokokaa??
If so ntaomba tuwekane sawa kufuatia hoja zako
tatizo nililoona linatokana na mtazamo wako na/au mtazamo wa wengi kama wewe!
Najibu hivi bado ninaamin nimeokoka maana tafsiri ya kuokoka ni rahisi tu ya kuwa ni kumkiri Yesu kwa kinywa chako na kumwamini moyon...
mwanamayu, we kwa mtazamo wako umeona criteria zinamgusa asiyeokoka/
Nadhani you are wrong
kwa uhakika wapo walio okoka wenye sifa tajwa hapo juu tena na zaidi ya hizo
then keep waiting be patient mwenyewe atapatikana kabisaaaa
Mandingoooo!kwanza nashukuru kwa mchango wako, very constructive. tena nashukuru kwa tahadhari kuu uliyonipa; naahidi kuifanyia kazi ingawa najua siwezi kuwa 100% ktk kukabiliana na stippers, hackers and alike.pili ni kwamba mpaka ninakuja huku, inamaanisha kwamba mwenye sifa kama hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.