Search results

  1. A

    Hatimaye Julius Malema atia neno kuhusu Magufuli

    Uchumi wetu utakua kwa pongezi za Malema kwa JPM au uliimaanisha nini?
  2. A

    How the Dreamliner is Killing Tanzanians dream?

    Tungekosa pia pa kuzi-park:)
  3. A

    How the Dreamliner is Killing Tanzanians dream?

    Spoken with tongue in cheek?
  4. A

    Rais Magufuli aenda kuhani msiba wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha CUF, James Mapalala

    Marehemu James Mapalaa ni mzaliwa wa wilaya gani?
  5. A

    Ifahamu Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo

    Kipo mkoa wa Kagera kwa sasa na kipo njiani kuhamishiwa mkoa wa Geita.
  6. A

    Nampenda sana huyu

    Unasumbuliwa na Magufulimania.
  7. A

    Njia alizotumia Mchechu kuongoza NHC zilikuwa batili. Shirika lilitakiwa liwe limekufa mapema

    Swali gumu! Jibu litategemea mkopaji ana uhusiano gani na wakazi wa mjengoni.
  8. A

    The SGR, War, MAGUFUGAME Kidedea, MUSEVENYATTA Mikono Juu Kukubali Matokeo!, Magufuli Shujaa, Apiga Bao Kupiga Tanchi!. Hongera JPM Kwa Kuona Mbali!.

    Pili, SGR ifike mpakani kabla ya kufika Mwanza? Mbona Isaka-Mwanza-Entebbe/Portbell/Jinja ni karibu zaidi kuliko Isaka-Kigali-Kampala?
  9. A

    Membe, January na Nape ni pete na kidole, Rais kuwa makini

    Mkuu ungetusaidia kwa kuanika unafiki wao ili nasi tutenge pumba na mchele.
  10. A

    Huu ni Utumwa na Sio Utumishi wa Umma: Rais Magufuli awaita Mainjinia Vilaza, Wapumbavu

    Mtukufu raisi amesema "Ndani ya utawala wangu......" Yeye siyo kiongozi bali mtawala. Angekuwa kiongozi asingetukana.
  11. A

    Mshukuru sana mikutano ya siasa ilivyopigwa marufuku maana idadi ya kupotea ingekuwa kubwa sana

    Hii ni dizaini mpya ya ku-save muda kwa kujibu bila kujibu!!
  12. A

    Mradi wa umeme Stieglers, kweli Magufuli kaona mbali

    Swali ambala hatugusii ni hili, "Ikiwa tumeshindwa kuu-manage vizuri umeme tulionao sasa, tuna hakika gani tutau-manage tunaoelekea kuzalisha"?
  13. A

    Mradi wa umeme Stieglers, kweli Magufuli kaona mbali

    Mkuu umesahau kusema "Mtukufu"!
  14. A

    Hivi maelfu ya vijana walioko mtaani watakipigia kura chama gani?

    Watakipigia chama kitakachowanunulia t-shirt!
  15. A

    Dr. Mwele Malecela: Asiyekuumba, kukuumbua hawezi

    Mimi natafuta ya mkuu wa kaya....
  16. A

    Rais Magufuli amefanya kosa gani la kikatiba/kisheria hadi alaumiwe kuhusu misamaha ya wahujumu uchumi na mafisadi?

    Zamani zetu mtu alisamehewa baada ya kukutwa na kosa katika mahakama huru. Hili la kushauriwa kukiri kosa bila kukutwa na kosa hilo katika mahakama huru lina harufu ya "reverse fisadism".
Back
Top Bottom