Search results

  1. W

    Swali kuhs ratba ya interview accountant PCCB

    Wasikukwaze bure mdogoangu,nenda pta hall ijumaa tar 17 hiyo,huku hawa jamaa wana vyeo mbili tu,mchunguzi(graduates wa degree na adv/dipl) na mchunguzi msaidizi (diploma,certificate,form 6,4 hata std 7) so utajua position yako kulingana na elimu yako uwe asbh-6 mch au mchana.kila la kheri.
  2. W

    Daah Ajira ngumu aisee!

    Pole sana mkuu,sasa hebu jaribu hii ya pccb ilotangazwa leo,Muombe Mungu na uamini kwa cfa na vigezo ulivyonavyo utaipata,ukikwama popote ni email kwa msaada wa maelekezo ya namna ya kuomba na nn kinatakiwa,
  3. W

    Nahisi nakaribia kucheat na x wangu.....!

    sure @mzabzab kwakuwa ameshaonyesha kutokuwa muaminifu basi aitumie formula ya LOCATIONSHIP maana kwake RELATIONSHIP ishakuwa ngumu tena
  4. W

    Mkuu wa wilaya ya Iramba kumbe ni mwanafunzi Finland mpaka 2014!

    Iramba ni moja ya wilaya za mkoa wa Singida, fadhila hizo sasa cjui profile ya huyu dogo ni ipi,wadau msaada kwa anayejua
  5. W

    Msaada wa Utambuzi Picha ya Rais.........

    Hakuwa malawi ila ndo anaenda malawi,kwa itifaki hapo anatakiwa mke(first lady) maana a mare mbunge hawezi kuwa hapo badala ya wasindikizaji waziri na mkuu wa mkoa, kweli huyo mbunge wa VITU maalum hadi wanamarchisha?
  6. W

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Rais Jakaya Kikwete muda mfupi uliopita ametangaza Tume ya Katiba. Mwenyekiti ni Jaji Joseph Warioba na Makamu wake ni Jaji Augustino Ramadhani. Ina wajumbe 30 - katika mgawanyo wa nusu kwa nusu na Zanzibar- kwamba 15 kutoka Tanzania Bara na 15 kutoka Tanzania Visiwani. Katika timu hiyo wapo...
  7. W

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    "una ushahidi gani kama wanaoichukia TBC ni CDM??? " pamoja na kuheshim msimamo wako lakini TBC si kama other media's, ni chombo cha wananchi kinachoendeshwa na kodi zetu,kinachochukiza watu ni namna kodi zetu zinavyotumika na TBC kuwa kitengo cha uenezi na propaganda cha ccm
Back
Top Bottom