Search results

  1. Msittu

    Spika tusaidie kujua CCM ilifanya vikao lini kumfukuza Nyalandu

    Amenukuliwa PolePole akitamka kwa niaba ya CCM kuwa Ndugu Nyalandu amejivua nafasi zake na uanachama mwenyewe kwa kushindwa kasi ya JPM. Akipingana na kauli hiyo, Spika katika barua yake akikisemea chama cha CCM anakiri kupokea barua ya chama ikimuarifu kumvua uanachama Ndugu Nyalandu. Kwa...
  2. Msittu

    CCM: Adui namba moja Tanzania

    Kwa mizania yoyote ile, msingi wa kipimo cha mitazamo kwamba adui namba moja wa Tanzania kwa sasa ni CCM kitasalia kuwa ni falsafa ya chama hicho kikongwe. Ukiacha falsafa yake, umri na uchama tawala ni nadharia nyingine muhimu ya ustawi wa uadui. Kushindwa kuiishi falsafa kumeunda falsafa...
  3. Msittu

    Mwalimu Nyerere na Maadui 3, Nyufa 3

    Tathimini binafsi ya Baba wa Taifa ilijikita katika uzoefu alioupata kifalsafa, kiutawala na kiuongozi. Mwalimu alianza kwa kutabanaisha kuwa ili Tanzania ipate maendeleo ni sharti kuwakabiri maadui watatu: Umasikini, Ujinga na Maradhi. Katika kutambua ugumu na mwelekeo wa vita hiyo, Mwalimu...
  4. Msittu

    Uchumi wa Taifa

    Bila shaka neno uchumi limebeba maana nzito yenye tafsiri rahisi katika maisha ya watu. Porojo za takwimu za mtakwimu Mkuu huwenda ni sehemu ya maana lakini tafsiri itabaki kwa Umma. Tumeanza na kubomoa uchumi, sasa tunaunda takwimu kujenga uchumi.
  5. Msittu

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Upuuzi na Ujinga vinapo ungana maarifa hukaa pembeni, thred zilizo andikwa humu zinadhihirisha wazi utawala wa upuuzi na ujinga - Bongo zilizo viza tabia yake kuu ni kushindwa kupambanua masuala muhimu. Tujenge Taifa.
  6. Msittu

    Siasa inapochanganywa na utaalamu.

    Siasa inapochanganywa na utaalamu kwa manufaa ya utaalamu siasa huwa bora, ila siasa inapochanganywa na utaalamu kwa manufaa ya kisiasa siasa huwa safi. Bali siasa na utaalamu visipochanganywa siasa na utaalamu huwa dhaifu na hatimaye siasa huishia kuwa mchezo mchafu wakati utaalamu ukibaki kuwa...
  7. Msittu

    Maige amwita Nape 'Gamba', Nape amjibu...

    Tusubiri makubwa zaidi ya hayo.
Back
Top Bottom