Search results

  1. A

    Kama siyo Lema awe nani?

    mi nataka awe bata.
  2. A

    Kama siyo Lema awe nani?

    Wapendwa wana jf wa Arusha na Tanzania nzima.Hivi kama Kipenzi chetu Lema akizuiliwa kugombea, Chadema imsimamishe nani? Kwanini tusiwaombe viongozi wa cdm wamsimamishe Bata au Nguruwe halafu tumpitishe kwa ushindi wa kishindo kwa ajili tu ya kuyakomoa magamba? Nawasilisha.
  3. A

    CCM inamshawishi Mwl Christopher Mwakasege achukue fomu Arusha mjini!

    Asidhani tutamshangilia kama ambavyo huwa tunamshangilia anapohubiri.si ameamua kuwa gamba bwana!Ataona.
  4. A

    Mchezo wa Simba waanza na mkosi wa Redcard.

    We Mungu saidia.Kwani mpira umekwisha wazee?
  5. A

    Niko huku nje Wajameni.

    Kuwa nje ya jf ni sawa na kuishi dunia ya saba.Naomba ushirikiano wenu viongozi.
Back
Top Bottom