Search results

  1. M

    Punguzo kubwa sanaaa la viatu vya kike

    WEKA ODA WWW.JUMIA.CO.TZ UTALETEWA DODOMA NA UTALIPIA BAADA YA KUPOKEA
  2. M

    Punguzo kubwa sanaaa la viatu vya kike

    -[TZ-2017-23]-[CLA-SLI-1-LV3]"]Best Womens Shoes Flash Shopping Deals Online in Tanzania | Jumia Market FLASH SALE IS NOW ON AT WWW.JUMIA.CO.TZ! LIMITED STOCK ON PROMOTION! ALL SIZES ARE AVAILABLE! GRAB YOURS FAST! PLACE YOIR ORDER ONLINE AT WWW.JUMIA.CO.TZ PROMO...
  3. M

    High Quality Swagga Bracelets Za Kiume

    Price ni 20,000 delivery ni 3000 kwa Dar, mkoani ni 8000. Unalipia Cash on delivery. Ukipokea mzigo ukirizika ndo unalipia. 0759313687. Material Leather
  4. M

    Punguzo Kubwa La Bei Mwezi March Katika Simu, Tablet, Tv, Friji, Laptop, Nguo na Viatu etc

    Sababu ni bandari mkuu. Suppliers wengi mizigo yao imekwama bandarini tangia Jan na Feb. Soon zitaongezeka mkuu.
  5. M

    Punguzo Kubwa La Bei Mwezi March Katika Simu, Tablet, Tv, Friji, Laptop, Nguo na Viatu etc

    Ni wale wale wauzaji wakubwa wa vitu mtandaoni barani Africa wanakuletea ofa kabambe ya March ndani ya Tanzania. Ni punguzo kubwa katika vitu mbali mbali tembelea www.jumia.co.tz upate punguzo hilo leo. Kwa Dar, Tanga, Arusha na Mwanza utalipia ukipokea mzigo kwa kitu kisichozidi 1,000,000...
  6. M

    Punguzo Kubwa Mwezi Huu Wa March Katika Simu, Laptop, Friji, Tv, Nguo Na Viatu.

    Ni wale wale wauzaji wakubwa wa vitu mtandaoni barani Africa wanakuletea ofa kabambe ya March ndani ya Tanzania. Ni punguzo kubwa katika vitu mbali mbali tembelea www.jumia.co.tz upate punguzo hilo leo. Kwa Dar, Tanga, Arusha na Mwanza utalipia ukipokea mzigo kwa kitu kisichozidi 1,000,000...
  7. M

    Natafuta nembo ya ubora (Hologram) Kama za kwenye DVD za movie na muziki

    Natafuta sana zile nemb kama za steps, zinakuwa zinangaa na branded.
  8. M

    Natafuta Nylons Packaging Bags Kama Za DHL. Wanatengeneza wapi.

    Natafuta supplier au kiwanda cha nylon packaging bags kama za DHL za kusafirishia vifurushi. Ziwe na uwzo wa kuwa sealed kwa gundi na sehemu ya kuattach documents kwa juuu. Sample pichani. Kama unajua wanapofanya au napoweza kupata tafadhali nielekeze au nisaidie mawasiliano yao.
  9. M

    Natafuta Nylons Packaging Bags Kama Za DHL, Wanatengeneza wapi?

    Natafuta supplier au kiwanda cha nylon packaging bags kama za DHL za kusafirishia vifurushi. Ziwe na uwzo wa kuwa sealed kwa gundi na sehemu ya kuattach documents kwa juuu. Sample pichani. Kama unajua wanapofanya au napoweza kupata tafadhali nielekeze au nisaidie mawasiliano yao.
  10. M

    Nyumba mbili zinapangishwa Arusha Njiro Kontenaa Tshs. 450,000/=

    Sio kesi, soko huria hili,mtu ishi kwa uwezo wako. Mimi nyumba zangu ni nzuri, zenye ubora najiamini na hio bei nimechaji ni ya kikristo kabisaa isiotaka faida kubwaa. Kama kodi kubwa kwenu sijamlazimisha mtu lazima akae kwenye nyumba zangu, sio deni kabisaaa. Nimekuja hapa kutafuta mtu akaishi...
  11. M

    Nyumba mbili zinapangishwa Arusha Njiro Kontenaa Tshs. 450,000/=

    Mimi sio dalali, sana sana una wainsult madalali bureee tu na wao wanapita humu na hii ni industry yao, Tangazo kama hili lazima wapite, wewe payuka kitwauma madalali mi hakiwezi kuniuma sababu sio dalalina ningekuwa dalali wala nisingejificha au kuandika hakuna dalali sijui nini ya nini sasa...
  12. M

    Nyumba mbili zinapangishwa Arusha Njiro Kontenaa Tshs. 450,000/=

    Hahahaaaaaaaaaaaa! Kama mimi kuwa na Vibanda manake Nyumba siku hizi ni maghorofa kimewauma sanaa mnisamehe bure tu. Nawashukuru wazazi wangu kwa kuwahi mjini na kuwekeza. Aliewanyima nyie vibanda ndo kanipa mimi, niawaombea mjenge ghorofa 50, 50 kila mmoja wivu uwatoke kidogo. Nasisitiza...
  13. M

    Nyumba mbili zinapangishwa Arusha Njiro Kontenaa Tshs. 450,000/=

    We vipi!Maybe nikacheki hati zangu za nyumba asubuhi kabatini huko nilikozichimbia. Mimi nikija i drive mpaka site kwangu, na nyumba hio moja naipangisha since 2004 maybe, na nyumba yenyewe nilirithi tu, kuoneshwa nyumba hii hapa isimamie. So ilikuwa imepangwa na mtu wa UN, then akapanga mtu wa...
  14. M

    Nyumba mbili zinapangishwa Arusha Njiro Kontenaa Tshs. 450,000/=

    Wewe mtoto wewe kwa hio huyo KIWORI sijui KIMBORI ndo ana nyumba zoooote eneo hilo? Nyumba ni zangu, mimi naishi Dareslaam, kule nimewekeza tu, naendaga kusurvey kidogo na kurudi. Majina nimemuuliza fundi tu maybe alikosea au hajui kuelekeza. Mimi nikija huko nakuja na gari langu so sihitaji...
  15. M

    Nyumba mbili zinapangishwa Arusha Njiro Kontenaa Tshs. 450,000/=

    Ninazo 2. Moja iko Kihonda Maghorofani nyingine iko Forest juu kidogo ya shule ya Forest zote zina wapangaji kwa sahivi. Ya Forrest 1 million kwa mwezi ni ya ghorofa anakaa mzungu, ya Kihonda ni ya kawaida, lakini mpya imeisha 2013, so finishing yake ni ya kisasa 300,000 kwa mwezi zote kodi...
  16. M

    Nyumba mbili zinapangishwa Arusha Njiro Kontenaa Tshs. 450,000/=

    ENEO NI NJIRO KITUO GHOROFA MBILI KWA KIMBORI. Nyumba ziko hapo hapo jirani kabisaa na kituo. Nyumba ya 1 ni 4 bedrooms, sebule kubwa, dining, stoo, master bedroom, fenced, Parking ya kutosha, wood ceiling, grills, karibu kabisa na kituoni. Tsh 450,000/= kwa mwezi, kodi mwaka, haipungui bei...
  17. M

    Natafuta nyumba ya kupanga haraka Arusha mjini au nje kidogo ya mji.

    hio hela ndo hasara! Kuna nyumba ya maana 3 bedrooms, 1 master, finishing ya ukwee, gypsum, tiles, fence, madirisha alminium 500,000/= kwa mwezi Njiro gorofa mbili! Kuna ki servant quater sebule kubwaaa na master tiles, gypsum, madirisha alminium 200,000 kwa mwezi! Njiro gorofa mbili nyumba...
  18. M

    Tunauza Solar na Bidhaa zake

    inabidi kujua vote vinakula watts ngapi! type zipo kabisaaa ni kwamba unachukua pannel kubwa na battery kubwa zenye uwezo huo! kuna mradi wa solar ya kusukuma kiwanda tumeundikia wanaweka pannel heka nane!
  19. M

    Tunauza Solar na Bidhaa zake

    inawezekan lakini sivo inavoshauriwa!
Back
Top Bottom