Search results

  1. M

    Proper recording: Nini kilimbadili Mzee Mwanakijiji?

    Mwanakijiji ana mawazo yake mwenyewe ambayo kwa wengine 'wasio waangalifu' yana madhara makubwa. Wanaochagua kufuata fikra zake wanatakiwa kufuata kwa mbali na kwa tahadhari. Yeye anaunga mkono CCJ, anaunga mono CHADEMA na anaunga mkono na CCM. Kwake ni heri CCM iliyo kwenye mgawanyiko iendlee...
  2. M

    usiku wa leo utaamua Tanzania inakwenda wapi..

    Katika mazingira haya tuliyofikia, ambapo serikali imedhihirisha kwa wazi kuwa imekuwa legelege isiyo na meno, inayoshindwa kukataa kwa sauti kubwa kuwa haikuhusika na utekaji wa Ulimboka, inayoshindwa kuonesha kwa dhati kabisa kuwa inakerwa na vitendo vya kihuni kwa mwamvuli wa dini...
  3. M

    Wana jamvi namleta kwenu kamanda Esther Wasira; naomba tumpe ushirikiano

    Dada yangu Kwanza karibu jamvini, kama ulivyokaribishwa na wenzangu. Nimefuatilia hoja zako. Nimeridhika wewe ni mtu wa viwango adimu. You are an intelligent lady. Hujaribu wala kuigiza. Ulizaliwa kwa ajili ya jukumu hili ulilolianza. Nawashangaa kidogo wanaokufananisha na hawa watu tuliowazoea...
  4. M

    Radio Imaan: Kikwete anajipendekeza kwa wakristu!

    Hawa watotoyawezekana walikuwa kwenye utafiti ili wajue wanachoambiwa na watu wazima kuwa anayechoma Msahafu anakuwa kichaa au kugeukakiumbe kingine yana ukweli au wanazugwa tu. Hata huyu mtoto wa kiislamu hainijii akilini kuwa alikuwa anaiamini kauli ile ndiyo maana akakubali kuchukua msahafu...
  5. M

    Radio Imaan: Kikwete anajipendekeza kwa wakristu!

    Nakubaliana na ww kabisa, hasira ya waliovamia na kuharibu makanisa haitokani na msahafu 'kukojolewa' bali mtoto anayeaminiwa kukojolea kuthibitisha kinyume chake na hivyo kupunguzia kiwango cha imani ya watoto wa madrasa walikuwepo kuhusu 'nguvu' ya msahafu Hivi kama huyu mtoto angekuwa chizi...
  6. M

    Radio Imaan: Kikwete anajipendekeza kwa wakristu!

    Huyu hakuwa kijana kwa maana unayotaka tuamini. Alikuwa mtoto akitaniana na mtoto mwenzie. Hebu nikuulize wewe kwa akili yako unaweza kuchukua Msahafu Mtukufu uende ukakojolewe? Na ukifanya hivyo hata kama ni mtu mzima tutakuita mtoto. Hata huna maadili na mapenzi na dini yako. Hawa walikuwa ni...
  7. M

    Dr Slaa kutikisa Arusha Jumamosi

    Pale serikali iliyoko madarakani imeua General Tyre hivi hivi na bado Raisi aliye madarakani aliahidi kutoa ajira lakini kama unavyosema kule arusha hakuna ajira. Mimi ningekuwa wewe nisingewalaumu wasio na ajira bali wale wanaoendesha nchi kwa sera mbovu za ubinafsishaji na ahadi hewa...
  8. M

    Migiro (for Presidency 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) Wanatosha Kuitakasa CC

    Ni kweli Asha kwa alivyo ni vigumu kuwa'win' wanawake. Hajajiweka karibu nao sana ingawa anaonekana kuwa 'simple'. Hawaezi kujilinganisha na kina Sofia Simba au Ana Malecela. Siasa za mikiki mikiki na sauti yake ya kubembeleza vitaendana kweli. Asithubutu ataumbuka na atakiumbua chama chake...
  9. M

    HOJA MBADALA: Tuhamasishe CCM imsimamishe Membe 2015?

    Hilo la CCM kuwa chama kinachotawala lina ugumu gani kulielewa hilo? Wala halihitaji kupigiwa debe kama unavyofanya. Ukishaona mwanaume anarudia rudia yeye ndiye mume na baba hapo nyumbani ujue kuna mushkeli katika kukubalika kwake. Ana tatizo. Anyway CCM ndicho chama kinachoiongoza nchi 'fine'...
  10. M

    Juhudi hizi zote wanafunzi wasipoelewa basi tena!

    Hii picha inastahili kuingizwa katika picha zinazostahili kupewa tuzo ya mwaka
  11. M

    Mdahalo wa Ugomvi: Ati Nyerere alikuwa Dikteta; aliua wengi...

    Which are opinions and which are facts in this? What effort have you made to separate the two? Are you talking to yourself or to someone else? Take an effort.
  12. M

    TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

    Ipo haja ya kujihoji kwa nini hawa watu kutoka Mbeya wanaandamwa na matukio ya kutishiwa uhai? Kulikuwa na Mwandosya, Mwakyembe, Ulimboka na sasa Mwangosi. Wameikosea nini CCM?
  13. M

    TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

    kwa akii yako likiwa la kuvunjia vizuizi ni azima liwe kubwa? Nani alikuambia ukubwa wa pua ni wingi wa makamasi?
  14. M

    Deus Mallya: Maswali na majibu ya Kifo cha Wangwe, Siasa n.k

    Siafikiani na mawazo yako ya kumkatisha tamaa asigombee. Amejieleza vya kutosha namna alivyohusika na ajali iliyotoa uhai wa Wangwe. Mimi ameniridhisha kwa kiwango kikubwa kutohusika kwake na mauaji ya Wangwe ikiwa nimedanganyika basi hayo namwachia Mungu. Sioni sababu ya kuendelea kuamini...
  15. M

    Dr. SLAA sasa atoa facts suala la CCM & silaha, amvaa Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti

    Huo utaratibu wa kufanya kazi ndiyo uliosababisha hadi leo watu wanachekelea chenji ya rada wakati waliokula rushwa wenyewe wapo wanadunda na wanazidi kulundikiwa vyeo? Utaratibu ndio uliofanya wauza madawa ya kulevya aliosema Raisi Kikwete anawajua wasichukuliwe hatua hata leo? Utaratibu ndio...
  16. M

    Dr. SLAA sasa atoa facts suala la CCM & silaha, amvaa Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti

    Jambo la kushangaza katika nchi hii mtu akiwa na ushahidi wa uhalifu uliofanywa, unaofanywa, au unaotaka kufanywa kama uhalifu huo kwa namna fulani unaihusiha serikali au CCM polisi hawatoi ushirikiano wala hawaoni kuwa wamesaidiwa na raia mwema kuthibiti uhalifu huo. Mifano ni mingi sihitaji...
  17. M

    Dr. SLAA sasa atoa facts suala la CCM & silaha, amvaa Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti

    Haya yanayosemwa na Dr. Slaa yanawezekana. CCM hapo walipofikia wanaweza kufanya lolote. Jinsi CHADEMA inavyopokelewa na chuki dhidi ya chama chao inavyoongezeka wanaweza kutumia 'nguvu yoyote ile' kupunguza kasi au kuahirisha kuadhiariwa mapema. Hakuna hekima inayoweza kufanya kazi katika...
  18. M

    Dr. Ulimboka yupo mafichoni, kuzungumza wakati wowote!

    Ni ukweli mtupu umesema. Kesho ya Taifa hili na ya Ulimboka haitabiriki! Waliomteka ambao hata kwa akili ya kijinga watakuwa wanafahamika na Serikali (maana haijajisumbua kumuhoji Ulimboka ili awataje) hawatakuwa tayari kuanikwa. Ama watahakikisha wanamuondolea uhai kabla hajawataja ama baada ya...
  19. M

    Wamalawi washitukia Tanzania na maandalizi ya vita!!

    Anajitambulisha kuwa yeye si dhaifu na hivyo upresident anauweza.
  20. M

    Breaking new: Prof Mahalu ashinda kesi

    Mazingaombwe yamekataa. Serikali ingeshinda ingesaidia sana kuonekana kama inayopinga dhuluma na ubadhirifu wa mali ya umma. Sijui kwa nini hawakujipanga ili kuhakikisha wanashinda. Hii ni serikali ya wasanii kweli kweli. Iliwezekanaje Raisi aliyepo madarakani amfungulie mashitaka mfanyakazi...
Back
Top Bottom