na kiwanja nimeuziwa kina Offer na kimepimwa,kimewekewa becoans.Sasa hakina hati,nimeshajenga na ninaishi
nataka kuuliza mchakato wake upoje nipate hati?
gharama ni kiasi gani?
kuna report kuwa south africa wameshafanya hii operation
Johannesburg, South Africa — A 36-year-old man has undergone the world’s first successful head transplant. The ground-breaking operation took a team of surgeons nineteen hours to complete and has allowed the patient to be cancer-free.
nadhani voda wametoa majibu rahisi,na haraka,ina maana hawana uwezo wa kumdhibiti mteja na wakala wa m pesa?ikibidi hata kumfungia asitumie huduma yao?
inawezekana wakawa sahihi
rudi nae wote mpate maelezo sahis
matatizo mengine ya moyo hayatibiki sababu ya aina ya ugojwa ,hatua ulipofikia,na muda mgojwa ametafuta hudua,pengine amechelewa san
hivyo husaidia awe na nafuu kwa dawa kila siku
bado nakushauri rudi nae,kama ameshafika hapo atakuwa...
ndugu pole
mlete muhimbili taasisi ya moyo ya jakaya kikwete utapata ufumbuzi wa maswali yako na tatizo la mgojwa na nini kifanyike muda gani na kwa sababu zip
Mara nyingi watafuna mchele wana upungufu mkubwa wa madini ya chuma(iron),,huwa upungufu wa dam
Ukienda hospitali ukafanyiwa uchunguzi utadhihirishiwa hil
Madhara ni damu huendelea kuwa ndogo na hamu ya kutafuna huongezeka jinsi madini ya iron yanavyogungu
Mtumiami pia anaweza akawa na...
Nimecheka sana lo
Nadhani bora kununua sox zinazofanana pair nying
Ushauri wa kuweka mbili pamoja ni mzur
Ni vema kuwa na kabati lenye droo au chest droo
Humo sox,boxer,underpants,bra kila kimoja kwenye droo yake na kila mtu na yak
Ushauri wa kugawa visizotumika ni mzuri sana katika...
Domy
Nenda hospital
Utapewa ushauri na vipimo muhimu kufahamu pressure kubwa imeathiri vipi viungo vya muhimu mwilini mwako
matibabu ni dawa,mazoezi na kuzingatia masharti ya chakula bora(wanga kidogo,mboga mboga kwa wingi,matunda kwa wingi na kupunguza mafuta na chumvi ktk chakula,punguza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.