Search results

  1. C

    Ulipo Ubalozi wa Sudan nchini Tanzania

    Habarini wadau wote wa Jf.Naomba kufahamishwa kwa yeyote anayefahamu eneo ulipo ubalozi wa Sudan kwa hapa Dar.Asanteni
  2. C

    ukawa wamekuwa watamu

    Natoka zangu viwanja mida hii maeneo ya Kongowe Bakwata Mbagala jamaa wamefunga barabara kwa nderemo na vifijo Ukawa kupitia mgombea wa Cuf wamemgaragaza CCM.kabla kiti kilikuwa chini ya ma escrow.Matokeo yametolewa Leo cos Jana kulikuwa na vurugu
  3. C

    Sasa inatosha

    Sina raha ya maisha,kila week end pressure,sitembei kivua mbele kama wengine,hata ile t shirt naona Aibu kuivaa.Mbona wanasiasa wanahama vyama,Ndoa zinavunjika na maisha yanasonga mbele,Wacheza soka wanahama timu na bado wanakuwa na furaha,Wademu wakali na wenye pesa wanaachwa .Kuanzia sasa...
  4. C

    Sisi tayari tumeshajipanga

    Kwenu wapiganaji wote wa ukawa sisi wakazi wa Mponda kata Mianzini Mbagala kwa kauli moja tumemteua mgombea 1 toka Cuf kusimama ktk uchaguzi wa s.mtaa.kilichobaki tuhimizane kujiandikisha tusijisahau na Escrow pekee tuna Mengi ya kupigania
  5. C

    Aluminium Profile at affordable price

    Tupo Toangoma kuelekea kigamboni karibu na kituo kipya cha Oil com utaona bango letu.Ndanda aluminium .0719744806.
  6. C

    Aluminium And Glass

    Tupo Toangoma along Kigamboni road .bei zetu ni nafuu.Ndanda Engineering work. 0719 744806.karibuni sana
  7. C

    Wapi wanauza Electric fence?

    Ndanda Engineering tunataka kupanua wigo wa kazi zetu kutoka Aluminum profile,Metal fabrication na Electrical work.na sasa tunaongeza Electric Fence sasa tunaomba kufahamishwa maduka ambayo yanauza vifaa vya Electric Fence.karibuni tupo Toangoma along Kigamboni road. 0719 744806
  8. C

    Ndanda Engineering

    Watengenezaji was Milango na Madirisha ya Aluminium,Metal fabrication na Electrical installation .Tupo Toangoma along kigamboni road.call .0719744806
  9. C

    Ndanda engineering work

    Tupo Toangoma along Kigamboni Road .Tunashughulika na Electrical work, Aluminium profile na Metal fabrication.karibuni sana .mob.0719 418051 au 0719744806.
  10. C

    Jihadhari na hii namba

    Hi wadau.Jana nilipigiwa cm kwa no Hii 0784610897.Huyu mtu alionyesha kunifahamu kwa jina na mahali nilipo ingawa sasa sipo hapo at that time nilikuwepo Nzega. Kwa ufupi alisema anaitwa Patrick Shija yupo kishapu kwa kilimo kwanza na deal anayotumia ni ununuzi wa majembe ya treka pale suma...
  11. C

    Sehemu ya kuoshea Magari inauzwa

    Salute.kama heading inavyojieleza eneo liko Kilwa road Kongowe mzinga ni barabarani tu pamewekwa zege na maji ya bomba yapo.Sababu ya kuuza ni kukosa msimamizi .Simu nn 0719 744806
  12. C

    Dada yangu aletewa kichanga kilichoterekezwa

    Habari za asubuhi wandugu. Jana usiku nilipata mgeni ambaye ni Dada angu anayefanya kazi Hospitali ya wilaya Ruangwa Lindi,wamemleta kichanga ktk kituo cha kukulea watoto yatima pale Msimbazi Centre baada ya kukiokota maeneo ya shule wilayani hapo.
  13. C

    Naomba kujuzwa juu ya EFC financial service

    Hope wadau mko poa na wale wagonjwa Mungu awape afya. Kuna Hawa jamaa wanaitwa EFC Financial service nasikia wanatoa mikopo kama kuna mdau anawafahamu vizur naomba anipe details zao
  14. C

    Ndanda engineering

    Ndugu wadau wa JF.tunapenda kuwajulisha kuwa Ndanda Aluminium and glass imebadili jina kuendana na kazi tufanyazo na sasa ni NDANDA ENGINEERING tukishughulika na ALUMINIUM PROFILE WORK,ELECTRICAL,METAL FABRICATION na PLUMBING.Tupi toangoma kuelekea kigamboni bei zetu ni nafuu zaidi no zetu ni...
  15. C

    Nyumba za Nssf Kigamboni

    Wadau nilipita hapo 2 weeks nyuma naona zile nyumba hazina hata dalili ya kununuliwa na baadhi milango ishashambuliwa na mchwa.kuna watu wasiozidi 7 wapo ktk zile nyumba.je tatizo ni bei au nn
  16. C

    Nipeni maujanja

    Mambo wadau.Hivi kule fb ukitaka kung'oa demu unafanyaje maama naona kila kitu kipo open kuna mademu wako loose tu kule. Ukimwi upo na unaua tumia condom
  17. C

    Ndanda aluminium

    Wenye mahitaji ya madirisha.milango na vifaa vyovyote vya aluminium tuone Ndanda Aluminium tuko Toangoma.hata kama huna pesa ya kutosha lipa robo tatu unafanyiwa kazi na robo utalipa kwa makubaliano. karibuni sana .0719418051
  18. C

    Aluminium and glass

    Kwa mahitaji yako ya madirisha,milango,na mengiyo yatokanayo na aluminium product tuone NDANDA ALUMINIUM AND GLASS WORK, tupo Toangoma kuelekea kigamboni 0719418051
  19. C

    Karibuni kwenye workshop yetu

    Hi Watanzaia, Sisi ni vijana tulioamua kuunda umoja wetu na kutengeneza workshop ambayo baadaye tutaisajili na kuwa kampuni kamili. Tunashugulika na ALUMINIUM AND GLASS WORK,METAL FABRICATION,AND ELECTRICAL WORK.tupo Toangoma along kigamboni road opp na kituo kipya cha oilcom ambacho...
  20. C

    Sasa tupo wazi

    Wapendwa wana JF, Tumefungua workshop mpya maeneo ya Toangoma along Kigamboni Road ,NDANDA ALUMINIUM AND GLASS WORKS,pia tuna fanya Metal fabrication and electrical work.Ni muungano wa mafundi wenye hizo professional.Tupo opp na kituo kipya cha mafuta cha Oil com ambacho hakijafunguliwa utaona...
Back
Top Bottom