Search results

  1. batazoba

    Prof. Tibaijuka ashauri wabunge wasiwe Mawaziri!

    Aliyekuwa waziri wa ardhi na makazi wa Tanzania mh. Anna Tibaijuka anaitaka serikali kubadirisha utaratibu wa mbunge kutokuwa waziri ili wabunge waweze kuwahudumia wapiga kura wao badala ya kutumia muda mwingi kufanya kazi za serikali. Wadau kama sio uchizi ni nn hiki au ndio kapagawa baada ya...
  2. batazoba

    Sugu aelezea sakata la ndege ya Rais wa China

    Mchango wako wa leo umechangia kwa njia ya aina yake ktk suala la kuitetea nchi kwa ujumla lakini pia hukutupa au kwa lugha nyingine kutuacha vijana nguvu kazi ambao ni Taifa la leo hasa sisi wenye kipato cha chini ambapo kila kukicha tunadharauliwa na kupewa majina ya kila aina lakini pamoja...
  3. batazoba

    Wabunge watadhalilishwa kwa kipigo mpaka lini?

    Tulishuhudia kipigo kwa wabunge wa upinzani wa jimbo la ilemela na mbunge wa ukerewe mhe.machemli walivyo jeruhiwa mpaka kufikia kulazwa ktk hospitali ya rufaa ya taifa muhimbili.swali la kujiuliza ni kwanini wamekuwa wakipigwa wabunge wa upinzani kiasi ambacho hupata majeraha na kuhatarishiwa...
  4. batazoba

    Wabunge watadhalilishwa kwa kipigo mpaka lini?

    Tulishuhudia kipigo kwa wabunge wa upinzani wa jimbo la ilemela Mhe.Highness Kiwia na Mbunge wa ukerewe Mhe.machemli walivyo jeruhiwa mpaka kufikia kulazwa ktk hospitali ya rufaa ya taifa muhimbili.swali la kujiuliza ni kwanini wamekuwa wakipigwa wabunge wa upinzani kiasi ambacho hupata majeraha...
  5. batazoba

    Kama ccm imewafanyia mazuri wananchi wake kwanini itumie nguvu na gharama kubwa ktk chaguzi?

    Wana ccm wanatakiwa wajiulize kama kuna kigezo cha maendeleo waliofanya kwa wananchi kwanini watumie nguvu na gharama kubwa katika chaguzi ndogo.
Back
Top Bottom