Search results

  1. N

    Eti fiesta ni tamasha la kitaifa duh!

    Dah! Sunguruma umenichekesha kodi za sie watumia ulanzi? Dah nimemiss hiyo ki2!
  2. N

    Ghorofa la Bernald Membe - Wizi Mtupu

    Bigwa ya moro au? Nani huyo anajenga huko kwa kodi za wananchi? Kwa nn unasema bora? Ufisadi ni ufisadi! Ujenge moro au mtwara!
  3. N

    YANGA NA SIMBA YAINGIZA SH. MILIONI 390/; A LYON na TOTO siku hiyo hiyo Dar SH.27,000 watu 9

    Sio kweli kwamba yanga na simba wameingiza 390 milioni,wameingiza sh 500 milioni,kwa mujibu wa gazeti la super sport lilivyoripoti leo.
  4. N

    Waarabu wana nguvu Iringa

    Iringa na moshi nianavyo mi hiyo mikoa haina tofauti ya kimaendeleo,mhehe na mchaga ni makabila tofauti ambayo yana tamadun tofaut,mhehe ni shujaa ktk nchi hii ,piri suala la iringa kuwa na waarab na raia wengine ni la kawaida,sasa mtoa mada alitaka wahehe wawafukuze waarab na wagirik na waburushi?
  5. N

    Mmoja wa polisi waliouwa afikishwa mahakamani leo

    Haki haitatendeka.R.I.P Mwangosi
  6. N

    Jakaya: Tunakupa wiki mbili, la sivyo ujiuzulu.

    JK kama kweli una uchungu na nchi hii wafukuze kazi mawaziri wako na wafikishwe mahakamani,kama huwezi ujihudhuru haraka sana kuiokoa nchi
  7. N

    kweli watz wengi wamesha choshwa na huyu JK

    si kweli kwamba kuna udini na ukabila,jk kachemsha maisha magumu kwa wa tz ,mfumuko wa bei, na ufisadi wa mawaziri wa na yeye hachukui hatua yoyote, tumwelewaje wakati yeye ndio mkuu wa nchi?
  8. N

    Swali la nyongeza, Bunge litawaka moto

    Kama kweli itakuwa vizuri sana
  9. N

    Bajeti ya Tanzania kuandaliwa USA

    wabunge wa tz leo wameonyesha uzalendo wa hali juu kuhusu nchi yao na fedha za walipa kodi .
  10. N

    Tanzania tuna Rais asiyejua majukumu yake na wajibu wake

    tatizo ni kuchagua rais ambaye si mzalendo namwenye uchungu na nchi yake
  11. N

    Just for my info, mwenye CV ya Angela Kizigha please!

    KWA KWELI KAMA NI HIVYO NI HATARI KWA NCHI YETU.wasomi wote tulio nao tunaendekeza fedha?
Back
Top Bottom