Search results

  1. P

    Matumizi ya neno ''Mheshimiwa'' kwa viongozi wenye nyadhifa

    Wanaitwa waheshimiwa kwa sababu wana vyeo vikubwa hivyo wao si wananchi wa kawaida.Kifupi wao pamoja na mawaziri,majaji,mahakimu,madiwani ni wa daraja jingine hivyo wamependa kuitwa hivyo wakimaanisha wao ni WAHESHIMIWA na wanaowaongoza na kuwahukumu au kuwatoa hatiani yaani wananchi wa kawaida...
  2. P

    Lema: Lowassa, Sitta na Mwakyembe kuhamia CHADEMA

    Masopakyindi hilo la maji kubadili njia linawezekana kwani ni juzi tu tulishuhudia kombe la uefa likiacha makazi yake ya munichi iliyoyazoea na kufurikia eneo la jangwa la london
Back
Top Bottom