Search results

  1. GODLOVEME

    Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

    January ndio Rais ajaye jamaa ni mtulivu sana, kuwa mpole.
  2. GODLOVEME

    How stupid do these people sound? If you know anything about Project Management

    Kama nimemsikiliza vizuri Moja kati ya changamoto za mradi ilikuwa project communication management haikuwa well planned Project quality management pia haikuwa sawa ndio maana baadhi ya hatua zimechuliwa, Na hay Mano yanawezekana kabisa awayabtano project zilikuwa zinaendeshwa kisiasa
  3. GODLOVEME

    How stupid do these people sound? If you know anything about Project Management

    Mtu ana PMP unamwambia akasome google
  4. GODLOVEME

    How stupid do these people sound? If you know anything about Project Management

    Project Management gain unayoiongelea
  5. GODLOVEME

    How stupid do these people sound? If you know anything about Project Management

    work Breakdown structure unayoingolea ni ipi moan kama unalalamika Project hiyo ilikuwa inafanyika kisela Sasa lazima Work program inayoaandaliwa izingatie mambo mengi na siyo ya kisiasa Ukiangalia katikati ya mistari Huna hoja ya msingi
  6. GODLOVEME

    Niliacha kumpenda Rais Samia tangu alipomteua January Makamba kuwa Waziri wa nishati

    Wote wanaompinga January Makamba wana Agenda ya siri.
  7. GODLOVEME

    January Makamba, Tanesco Hakuna nguzo wala meta kwa wateja wapya nchi nzima , habari hizi unazo?

    Sukuma gang Makamba anawasumbua sana mimi nipo tanesco toka huyo msukuma wenu aropoke watu wafunguwe uneme kwa 27000 tanesco walikuwa wanawapimia watu lakini hawakuweza kuwafungia watu mita Huu ulkuwa mzigo mzito kwa tanesco, mpaka january Mak anaingia madarakani kulikuwa na pending za muita...
  8. GODLOVEME

    Kwanini Rais amepoteza mvuto kabla ya kutimiza siku 100?

    Amepoteza mvuto kwa nani?
  9. GODLOVEME

    Mbowe: Katika viongozi wa chama chetu sioni mtu wa kumwachia hiki chama kwa maana wote tunafahamiana

    Dunia yakoo, Mimi chadema sina shida na hilo Mbona uenyekiti wa Mbowe unawauma sana ccm Anawazuia kufanya nini
  10. GODLOVEME

    Utenguzi RC Makonda kwa uamuzi wa DC Sofia Mjema Umebebwa na "Ulokole"

    Mimi huwa na usingizi mzito sana saa kumi na moja kasoro wananiahamsha.......hizo sio kelele mbaya zaidi hata ile lugha ndio sielewi
  11. GODLOVEME

    Rais Magufuli ampongeza RC Mbeya kwa kuchapa viboko wanafunzi. Awafukuza shule wanafunzi na kuvunja Bodi ya shule

    Huwa napingana na magufuli siku kzote lakini kwa hili naomba nimuunge mkono....watoto wachapwe wamekuwa wajinga ....mimi niliwahi kuchwa kwa siku fimbo zisizo pungua 30 lakini hizo fimbo ndio zilisaidia kubadilisha mtazamo wangu kwenye masomo
  12. GODLOVEME

    Naomba kufahamishwa wasifu wa Dkt. Wilson Mahera, Mkurugenzi mpya wa Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC)

    Kama sijasahahu vizuri alinifunisha hesabu chuo cha mlimani
  13. GODLOVEME

    Rais Magufuli tutatulie hili la vifungashio maana ni kama limemshinda waziri January Makamba

    Mimi nampongeza kwa hilo, tuache siasa pembeni hii mifuko ni kero
Back
Top Bottom