Search results

  1. M

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Najua wewe ni walewale walioweka rehani akili zao na kuendeleza fikra mgando na kutegemea kukopi na kupesti bila kuelewa ni nini kiwapasacho kufanya. Inawezekana wewe uko SSRA au si mtumishi wa umma. Kama ungekuwa mtumishi wa umma hungesema hayo, hiyo ni hela halali ya mtumishi aliyeacha kazi...
  2. M

    Dr. Slaa Almanusra Ajiuzulu Chadema, Sasa CCM tumechoka!!

    Kitu kinachowasumbua CCM ni kukosa ubunifu wa jinsi ya kuwaridhisha watanzania ambao mpaka sasa wamekosa mwelekeo chini ya utawala wao.Viongozi wengi wa CCM kazi yao ni kupiga kelele badala ya kushughulikia kero za wananchi. Ikumbukwe kuwa mwaka 2011 zaidi ya asilimia 40% ya wanafunzi wa kidato...
  3. M

    Wengi wajiunga Chadema Baada ya Ushindi Arumeru

    It is obvious that CDM is going to take the reign, no way CCM gonna do anything because no more thinking, but majungu is their sera.
Back
Top Bottom