Search results

  1. wagaba

    Watatu kizimbani kwa kuiba tausi wa Ikulu

    Nilidhani wangepewa nafasi ya kurudisha hao tausi au walipe hizo 3m. Huu si ndo utaratibu wa sasa kwenye ofisi ya DIPIPII
  2. wagaba

    Siri Imevuja: Afrika Kusini Yagundua Mratibu wa Maandamano ni Maafisa wa Serikali ya JMT. Ni Aibu!

    Wanampa aibu kubwa JPM kila kukicha. Amezeeka kabla hata hajatoboa tano zake. Wenye viherehere na kujipendekeza wanaendelea kumzeesha huyu rais wetu. Ipo kazi kweli kweli! Hivi hajagundua tu kama anaingizwa chaka kila kukicha. Hizo sifa anazopewa itabidi azipime kwa ufasaha kweli kabla haijawa...
  3. wagaba

    Wheel alignment machine inahitajika

    Used wheel alignment machine ( one set) inahitajika. Plse PM
  4. wagaba

    Gari ya jeshi iliyobeba Korosho yapata ajali; zaidi ya tani 30 za korosho zamwagika

    Dereva hana kazi hata kama kosa si lake.
  5. wagaba

    Yogesh Maneck tajiri namba 1 Tanzania

    Hapo wakijumlisha na walizokwepa nadhani watabadilishana position
  6. wagaba

    Nini kimesababisha Venezuela kuwa hivi ilivyo leo?

    Hapa Magufuli anajifariji
  7. wagaba

    Barua zote za wanaounga juhudi zimeandaliwa na mtu mmoja?

    Asante sana Quinine kwa kutusaidia kuwavua chupi na boksa zao hadharani. Aibu kabisa kwa hawa mbuzi wanaohama kila kukicha. Wapo kama misukule tu isiyojuwa chochote. SHAME SHAME SHAME!!! Usishangae hiyo barua imeandikwa na Slow Slow na kuwekwa kwenye flash disk.
  8. wagaba

    Hii ngumu kumeza

    Hivi unafikiri kuna ndoa ambayo haina cheating!!!! Wewe pima mwenyewe kuona ni bora kipi, kuacha au kuendelea nae.
  9. wagaba

    John Mnyika: Sina Mpango wa kuongea na waandishi wa Habari naendelea na Ujenzi wa Chama Changu

    Ha Hata mimi sijaelewa hapo vzri ila naona ni kuongea manake waandishi wa habari hawahongi (labda kama nyie ccm sasa meamua kuwapa jukumu hilo waandishi wa habari)
  10. wagaba

    CCM mpya na ustawi wa wananchi kwenye mamlaka za Serikali za Mitaa (vijijini na mijini)

    Namba ya simu ya nn sasa. Au kwa kuwa unajuwa umeandika ki mitego ili ukamate kama nzige.
  11. wagaba

    Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

    Tusubiri mtifuano ndani ya chama pendwa 2020.
  12. wagaba

    Hizi ni dalili za maradhi yapi?

    Nimekuelewa ndugu. Ila ni mapema mno kuhisi mimba. Jipe muda kidogo. Hizo dalili si lazima ziwe za mimba. Ila kuna rare cases ambazo mwanamke anaweza kupata ovulation wakati yupo period. Hii inaweza kufanya mimba itunge. Vuta subra kidogo.
  13. wagaba

    Hizi ni dalili za maradhi yapi?

    Hii post umefanya C&P. Mbona hizo tarehe ni chenga sana.
  14. wagaba

    Shirika la Marie Stopes Tanzania yasitisha huduma zake. Serikali yaliruhusu kuendelea kutoa huduma

    Waziri wa afya alituambia Jiwe anatania tu, hakuwa na maana hiyo. Sasa imekuwaje tena wizara yake inasimamisha Marie Stopes. Au jina lao limewaponza!
  15. wagaba

    Al Shabab watimba ndani ya shule na kuua walimu wa Kenya

    Huu mtifuano wa ke na Tz sijuwi utaisha lini. Hatuna breki hata kwenye majonzi. Its like kila mmoja anamwombea mwenzake mabaya tu. Who benefits from these mitifuanoz. Eti wengine wanasema ni watani zetu tu. Watani my foot!!!! Poleni sana neighbors.
  16. wagaba

    Uchaguzi Liwale: Mgombea kupitia CCM, Zuberi Kuchauka ashinda kwa 85%

    Si ndo kawaida yao kuiba hata kabla kura hazijaanza kuhesabiwa. Wewe mgeni hapa Tz. Matokeo wanayo mifukoni mwao.
  17. wagaba

    Uchaguzi Liwale: Mgombea kupitia CCM, Zuberi Kuchauka ashinda kwa 85%

    Hapo ni ccm na cuf. Bado cuf wataibiwa tu. Mwizi hawezi acha tabia.
  18. wagaba

    Uchambuzi: Athari ya Habari za "Tanzanite"

    Zitto nae kaja kwa mbwembwe nyingi lkn kimya. Sasa tutaacha kuamini kuwa anakula mke wa mtu.
  19. wagaba

    Uchambuzi: Athari ya Habari za "Tanzanite"

    Musiba na habari zake hazina tatizo, tatizo ni viongozi wa CHADEMA kufumbia macho na kunyamazia hayo yanayoandikwa kila kukicha. Wakinyamaza manake yaliyomo yamo ndo mana wanashindwa kuchukuwa hatua.
Back
Top Bottom