Search results

  1. E

    Safari ya Uingereza, Niende au nisiende? Ushauri tafadhali

    Mambo ya kwenda ulama kutafuta maisha yalikuwa ya za mani sana Enzo zile za ujamaa,huyo Jamal asithubutu kwenda uk,atajuta maisha yake yote!apambane hapahapa Atalanta maisha anayoyataka,ajiulize nano alienda huyo akarudia hapahapa bongo Akita na maisha bora?
  2. E

    Msaada: Wadudu wamekula mbao za dari, paa linataka kudondoka. Mtaalamu wa dawa anisaidie ushauri

    Ni Mbao za aina gani umetumia?kama ni Jamii ya crevilia au Mbao zenye Sukari ni bora kubadili Mbao zote za paa Kabila halijashuka.mimi nafanya kazi za carpentry,nimewahi kukutana na tatizo Kama Hilo almanusra nifunge Kiwanda sababu ilinichukua Mwaka mazima kufanya repair za bidhaa mbalimbali...
  3. E

    Ni nani/kina nani wamiliki wa PANONE Company Ltd?

    Wabongo tumieni ubongo kujadili/kufikiri mambo ya msingi na kupambana na maisha yenu kujiletea maendeleo badala ya kupoteza muda kujadili watu kuwatungia uongo wa kale kabisa usio na mashiko.
  4. E

    CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    Tatizo la magamba ni kuona watanzania hawana uwezo wa kufikiri;lakini watanzania wa leo kichwani zimejaa;magamba endeeleeni na mbinu zenu za kale zinazothibitisha mgando wa kutisha wa akili zenu.
  5. E

    Rais kutoka Zanzibar haiji kutokea tena

    Hata baba wa taifa mwl nyerere angekuwa hai leo,kamwe asingeweza kumpigania mtu toka upande wa zanzibar kuwa rais wa jamhuri kwa hali ya kisiasa ilivyo na uelewa/weledi mkubwa walionao watanganyika kwa sasa,nafasi pekee iliyokuwepo kwa mzanzibar kuwa rais wa jamhuri ilikuwa mwaka 2005 kwa salim...
  6. E

    Rais kutoka Zanzibar haiji kutokea tena

    Hata baba wa taifa mwl nyerere angekuwa hai leo,kamwe asingeweza kumpigania mtu toka upande wa zanzibar kuwa rais wa jamhuri kwa hali ya kisiasa ilivyo na uelewa/weledi mkubwa walionao watanganyika kwa sasa,nafasi pekee iliyokuwepo kwa mzanzibar kuwa rais wa jamhuri ilikuwa mwaka 2005 kwa salim...
  7. E

    Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    lowasa ni kiongozi jamani;hebu watanzania tujiulze;nani hajuti sasa hivi kwa bahati mbaya tuliyoipata 2005 ya kupata kiongozi kama kiwete!mimi sielewi au najiuliza kila siku rostam na lowasa waliona nini kwa kiwete mpaka kukubali kumpigania kwa nguvu zao kuingia ikulu..naamin watajuta kwa maisha...
  8. E

    Milioni 300 za mtandao zatumika kummaliza Makongoro Nyerere; kisa...

    Makongoro Alimwambia Lowasa..KULE SITE HATAKIWI WATU HAWAWAELEWI CCM HIVYO LAZIMA WAMVUE GAMBA!
  9. E

    Tigo acheni wizi wa kipuuzi, msitafute pesa kwa kuwaibia watanzania

    hii hata mimi imenitokea mfululizo zaidi ya wiki 4 sasa kila siku ifikapo muda wa jioni wanakata/wanapunguza salio ktk cm yangu bila kupiga au kutumu ujumbe kwa simu yangu;siku moja customer care walinipigia nikawauliza sababu za kufanya hivyo hawakuwa na sababu za msingi;tcra sijui wako...
  10. E

    Mhemiwa Zambi on Maghembe's neck

    Nakubaliana na mtazamo kwamba kelele zote za mhe zambi ni kumlinda mhalifu kumburu kwani dg huyu yuko tcb kulinda maslahi yake binafsi na kambpuni za washirika wale technoserve na kilicafe;mwaka 2008 niliingia ktk biashara ya kahawa kwa stle ya kuaz kutumia kikundi,tokana na mtikisiko wa uchumi...
Back
Top Bottom