Search results

  1. Masiya

    Kweli Mbowe anapewa nafasi kuongea, ananyimwa Jakaya? Nashauri familia hizi zikae zimalize bifu

    Political engineering ndio tatizo letu kubwa coupled with weak institutions.
  2. Masiya

    Wasifu wa Lowassa unataja aligombea urais wa JMT 2015 lakini hausemi aligombea kwa chama kipi. Je, kuna wivu wa CCM kwa CHADEMA hata msibani?

    Watoto wetu wafundishwe historia ya tanzania. Historia yenyewe ndio hii? Ccm acheni utani.
  3. Masiya

    Bunge laondoa kigezo cha kupitia JKT na JKU kuajiriwa vyombo vya ulinzi

    JKT kwa sasa haina uwezo wa kuwachukua wale wote wa lazima na pia wa hiari hivyo kigezo hicho kina ubaguzi. Hakitoi fursa sawa kwa wote. Ukikitoa kigezo hicho ina maana wote wanatafuta ajira wanaweza kudahiliwa wakikidhi vigezo vingine. Wale watakao pita ndio watafanya mafunzo ya awali ya...
  4. Masiya

    Chadema iliyozikwa na Hayati Magufuli imeanza kufufuka, sasa wanaenda Mbeya!

    Nani kamzika mpinzani wake- CDM au JPM?
  5. Masiya

    TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa DRC, Josky Kiambukuta Londi afariki Dunia

    Mayaula ni mtunzi niliowataja hapo ni waimbaji wa hilo songi.
  6. Masiya

    SPIKA TULIA ACKSON: Tujadili vitu vya muhimu Bungeni Ila sio Kuuliza kuhusu Maswala ya vyoo

    Choo ni choo, umuhimu wake ni pale utakapo banwa au ukiwa na mgeni. Dawa ni kujenga vyoo hakuna mkato. Sera ni muhimu.
  7. Masiya

    Mazishi ya Lowassa yanahitaji hotuba kama ya Malema kwa Winnie Mandela

    Inaelekea ccm wameamua kuifuta chapter ya lowassa CDM. HOPEFULLY im wrong lakini si kwa chuki hizi.
  8. Masiya

    John Mnyika: Sikuunga mkono Lowassa kuwa Mgombea wa Urais 2015 kupitia CHADEMA

    Mwaka ule sikusogelea sanduku la kula ( mimi si mchadema wala ccm)
  9. Masiya

    TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa DRC, Josky Kiambukuta Londi afariki Dunia

    Cherie bondowe waimbaji ni boyibanda michel, wuta mayi, na josky Kiambukuta. Mayaula hakuwahi kuimba hata mara moja ndani ya ok jazz hiyo ilikuwa kazi ya josky na wsimbaji wengine.
  10. Masiya

    Waziri Mkenda, TCU, na wabunge saidieni wanafunzi wa SUA kuna shida ya maamuzi ya uongozi

    Toka vyuo vimewekwa kiganjani mwa serikali ni mengi tu yanayo endelea huko, muda utaongea zaidi, tusubiri.
  11. Masiya

    Jakaya Kikwete: Lowassa alipopata changamoto na kukaa pembeni, tuliendelea kuwa Marafiki

    JK na ENL wanajuana sisi wengine tusubiri. Ridhiwani alisema raisi hawezi kutokea kaskazini na JK akatuambia atahakikisha chama hakimfii mkononi.
  12. Masiya

    Protokali ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu ipoje?

    Nimeziishi zote.
  13. Masiya

    Protokali ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu ipoje?

    Without portfolio huenda ikasomeka mzurururaji haipendezi, special work or duty sounds better lakini bado hana portfolio. Anaejua huyu anafanya kazi gani ni raisi tu.
  14. Masiya

    Protokali ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu ipoje?

    Kazi maalum na asiyekuwa na wizara maalum ni sawa tu. Waziri una wizara au huna mengine ni mbwembwe tu. Kaka yangu mkuchika hana wizara.
  15. Masiya

    Protokali ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu ipoje?

    Si kweli. Yeye hutumwa na raisi kwa utashi wa huyo raisi. Hivi karibuni nafikiri mzee mkuchika ana cheo kama hiko. Check
  16. Masiya

    Bado najiuliza: Nini hasa chanzo cha Lowassa kuwa na ushawishi kwa watu?

    Alikuwa strategist mkuu wa kundi la msoga. Pia mtendaji mkuu hivyo ndani ya ccm hukuweza kuwatenganisha hadi pale issue za umeme zilipo ibuka na jk alisema ccm haitamfia mikononi ndoo enl akatoswa.
Back
Top Bottom