Nape! honestly binafs mwanzo nilikuheshim sana kwa hoja na changamoto ulizokuwa unatoa kwa faida yako na taifa kwa ujumla ila kwa sasa umebadilika sana umekuwa mtu wa matus kejel kwenye masuala ya msing sijui reasons behind, ila ndan ya ccm ww ndo mtu makin uliyebakia hvyo bas nakusih...
hahahaha! ccm oyeeeeeeeeeeeee! This is the cardinal sign of failure. yan wamekaa mawazir wake had mwakyembe na makamba wakiwemo na kuadhimia hv!!!!!!!!!!!!!! vry fantastic, anyway yetu macho baana.
gambaaaa!!!!!!! ila mwka huu kitaeleka tu, mambo yote hadharan cjui mtajificha wap!!!!!!!! mungu amjalie apone. na sio wote tulio hapa ikuru tunafurahishwa na hv vitendo vya kinyama.
wazo zuri sana kamanda ila kama unavyofaham tena hk chama mufiris ccm kitashikia bango na kukichafua chadema, mi nafikir huu ndo mda mwafaka kwa wanahakat kuonesha mchango ktk.
unajua zaman niliamin kuwa wisdom is the product of schooling kumbe sivyo kabisa. Mwigulu kama classmet wang nackitika kumkana na kumdharau had sku naingia ktk nyumba yang ya milele, anafkr anajua anachokifanya kumbe ovyo kabisa ila kila jambo linamwsho wake. Psychologically tatizo lake linaitwa...
Hv jaman mbona tunaizalilisha sana jf kias hk? sasa hebu check mtazamo wa huyu jamaa hapo juu me nafkir hawa wanapaswa waende facebook huko ndo kunawafaa. mtu katuletea taarifa tena yenye uchunguz halaf anamdiscourage huu ni upuuz usioweza kuvumilika, this z hme of great thinkers na sio hzo brabra.
jeneral hakika utakumbukwa na jamii ya watanzania wote vizaz na vizaz vijavyo kwa nasaha zako za waz na zilizojaa hekima, busara na maonyo meng. nakuheshim sana mzee wetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.