yes kaka tusimkatishe tamaa na sioni umuhimu au ulazima wa mtu kukejeli au hata kutoa tusi. ila bwana mdogo naye asione wenzangu na mimi wanaomkatalia akaona kama wabaya au watu wanaomkatisha tamaa. kama kuna mtu anatoa ushauri wenye kuonesha kama vile haungi mkono tangazo lake, auchukulie kama...
kaka umeulizwa maswali ya msingi sana na huyu ndugu yetu. uhuru na haki yako ya kidemokrasia ya kuchagua na kuchaguliwa isitumiwwe for granted. twambie kwanza mapungufu ulioyaona kwa mbunge aliyeko madarakani.(INAWEZEKANA UMESHAYAONA MAPUNGUFU YAKE NASI WAPIGA KURA PENGINE KWA MUONO FINYU TUKAWA...
ndugu unapojadili tumia busara na hoja yenye mashiko siyo kama ulivyonena. pia jifunzeni kutumia lugha ya hekima. wewe kama unaona slaa ni bora yatosha au km kuna mtu aona zita ni zaidi, pia swa kwani kila mtu anayo haki ya kupenda na anapopenda anazo sababu zake. binafsi kama ningeambiwa...
execellent ndg yangu. unajua ukijua kanuni bana huwezi pata tabu. sheria zetu zinasema ili ugombee ubunge LAZIMA ujue kusoma na kuandika vema kiswahili. inaendelea kusema kuwa uwe na akili timamu. SASA tuanzie hapo, je, hao wabunge wa ccm wanazo elimu za kutisha kuliko CDM. tuanzie kwa LUKUVI...
BWANA KUBENEA SIKU HIZI KUNA WIMBO WA MWANAMZIKI FLANI WA MIONDOKO YA BONGO FLAVOUR UNAITWA "NIDANGANYE" samahani kama nimeunukuu vibaya. anyway, maudhui ya wimbo huo ni kwamba jamaa anasema hata akimfumania mpenzi wake live chumbani ni bora adanganywe kuliko kuambiwa ukweli kwani ataumia sana...
It has come a time when silence become a betrayal~ Martin Luther King Jr.
when u remain neutral in the situation of injustice, u have chosen the side of the oppressor; Archbishop Tutu
Kama kweli anaijua kazi yake, atuambie ilikuwaje ndege ya kijeshi imetoka nchi nyingine ikaja ikabeba Twiga...
hivi jamani niambieni, mambo pale nyumbani yakienda ndivyo sivyo mfano mabinti wanapata mimbo au vijana wanaanza kuvuta bangi ovyo ovyo tu, je, tutakuwa sahihi kosa si la baba kwasbb yeye hashindi na watoto muda mwingi hivyo ni kumlushia lawama mama yao? kama JIBU NI kumlauma hata baba, basi...
ninyi vp!! sisi sisiemu mgombea wa arusha mbona yupo tu na atawamaliza within a second. tutamsimamisha JIWE LENYE UHAI MATUSI. HAMUONI TAYARI TUTASHINDA HATA KABLA YA KAMPENI KUANZA??? KAMA SHERIA ITAMZUIA KUGOMBEA NA KUMILIKI MAJIMBO MAWILI BASI TUNAMLETA WASIRA ANAZO SIFA ZOOOOTE. HE IS...
kaka jina lako ungetoa "o" ukapachika "a" ingenoga sana hat kutamkika. manake mawazo yako yako ktk mtizamo wa kuchinja chinja uhuru wa watu. kama wanataka kuandamana mnaogopa nini ninyi serikali ya ccm?? wapen uhuru waandamane ilimradi tu wasifanye fujo au ninyi polisi msiwafanyie fujo then...
mnashangaa nini sasa ninyi watanzania? hamkumbuki baba yetu JK akiwa ufaransa aliwahi ulizwa swali "Mr. Kikwete, why is it that your country is poor? Jibu la Kikwete: you know i even don't know why!!!" RAIS WA NCHI HUYO!! Atashindwa nini mtu kuahidi daraja kusipokuwa na korongo achilia mbali mto??
hivi inakuwaje mtu unapata ujasili wa kutoa matusi. kwani huwezi pinga HOJA YA MTU VIZURI MPAKA UTUKANE????? MUMELELEWAJE NINYI WATU!!! hata kama mtu katoa hoja isiyokuwa na mashiko kwanini usimueleweshe au hata kumpuuza tu mpaka utukane????? sasa kati yake aliyetoa hoja pumba na wewe uliyetoa...
ndugu zangu upande wa ubunge tusisahau kuwa kikwete ana viti 10 bungeni so kwakuwa raia wamempunguzia mtu wao wa kuwa anapiga makofi, atateuwa mwingine kama alivyowateuwa mawaziri wa afya na mambo ya ndani. tuendeleze tu elimu ya uraia huku huku tuliko na pia tuendelee kuwa na mipango towards 2015
ndugu fergusonema mbona umeonekana kukwazika sana na jamaa aliyesema wagogo bado wamelala?? inaelekea wewe ni mgogo au una ujamaa na wagogo nini? anyway, usiumie sana ni vijimambo na huenda ni mtani wako so sioni kwanini umemind sana.
Unajua nini ndg zangu? katika nyanja zote na hata kaika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.