Search results

  1. K

    Nape alaaniwe kwa kutuita Boko Haram

    Mbona "Bi. Kiroboto" hana mume na ni Supika
  2. K

    Dr. Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM, CHADEMA (Sehemu ya Pili)

    Dr. Mkumbo Kitila ni mmoja kati ya wasomi waliojijenea sifa na heshima katika medani ya siasaza Tanzania. Kwa bahati mbaya msomi huyo amegubikwa na wingu na ulevi na kiburi cha kujiona eye ndie anayejua nani anfaa kuongoaza CDM na nchi hii. Dr.Kitila kwa matamshi yake yeye mwenyewe anakiri...
  3. K

    Chadema kwa vigezo hivi wanapata wapi tumaini la kuongoza nchi hii??

    Wadanganyika hebu tujiulize hivi ni kweli sera ya kuitawala nchi hii kimajimbo ni mpya na italeta kutokuelewana miongoni mwetu? Mimi binafsi sipendi kuamini hivyo bali ninachokiona ni kuwa hata sasa sera za kimajimbo ndizo zinazofanya kazi. Hebu angalia jinsi majimbo ya kibunge yalivyo...
  4. K

    Mhariri Mtanzania: Kwa siasa za shari, CHADEMA kinajifuta; marehemu alikuwa akiifanyia kazi CHADEMA

    Kwa misingi ile ile anayoitumia Mhariri wa Mtanzania basi anausadikisha umma kuwa nae anatumika na CCM, maana hoja anazojaribu kuzijenga kwa Marehemu Mwangosi kuwa alionekana akitoka upande wa CDM hazina mashiko kuwa alikuwa akitumiwa na CDM. Nijuavyo mwandishi anapaswa kupata habari za pande...
  5. K

    Kwanini Dr Ndalichako asijiuzuru?

    Moja ya sababu ya msingi kabisa ya waliofaulu kutokujua kusoma na kuandika ni mtindo au aina ya utahini wetu. Unategemea nini kama mtihani wote hata Hisabati ni kuchagua "multiple choice".
  6. K

    Kwanini Dr Ndalichako asijiuzuru?

    Wakati Dr.Ndalichako aliposhika madaraka pale NECTA alimteua naibu wake ambaye alikuwa Muislam jina lake Ahmed Ally lakini aliacha kazi kwa hiari yake mweyewe na kurudi UDSM kufundisha.
  7. K

    Kwanini Dr Ndalichako asijiuzuru?

    Nadhani sasa ifike mahali Waislamu wanatakiwa kujitathmini kuhusu nini wanataka katika nchi hii. Kwa kifupi mimi binafsi naona kama hakuna jambo wanalolianzisha wakalimaliza na kupata matokeo wanayoyahitaji. Sisiti kutamka kuwa wengi wao wanatumika tu kama ngazi ya kuwafikisha mahali fulani...
  8. K

    Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    Kwa ufahamu wangu kidogo nilioupata nilipokuwa katika mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria, tulifundishwa kuwa askari unatakiwa kupokea amri ya mwisho na kuitekeleza bila maswali. Ninachoweza kusema hapa baada ya kuangalia ile picha ya Marehemu Mwangosi akisulubiwa na wale askari huku akiwa...
  9. K

    Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA Sept 10, 2012

    Kwani Mwangosi alikuwa anaandamana? Josephine kule Arusha alipigwa na kitu kizito kilichorushwa na Wananchi alikuwa anaandama? Viongozi wa CDM wanapokuwa katika maandamano huwa mstari wa mbele kabisa na mara zote huwa wamemeshikana mkono. Rejea picha mbalimbali za maandamano ambayo viongozi wa...
  10. K

    Dr. Slaa adaiwa kumwandikia meseji ya vitisho IGP

    Ndugu zangu mimi binafsi sioni vitisho vyovyote katika ujumbe unaosemekana umetoka kwa Dr. Slaa. Nimeusoma mara kadhaa kwa kurudiarudia lakini bado sijaona kitisho au vitisho vya ujumbe husika. Bali ninachokiona ni kauli ya kumpa tahadhari IGP kuwa kama ana busara na hekima aache mara moja...
  11. K

    Madaktari wenzangu: Only "Mass resignation" itawaamsha watawala!

    Nawaunga mkono madr wa bongo katika madai yenu yote dhidi ya serikali,ni dhahiri serikali yetu sasa inaendeshwa kibabe. Drs jiulizeni baada ya Dr. Uli kuteswa na kuumizwa kiasi kile na Dr. Mkopi kupelekwa mahakamani kwa ajili yenu na kufutwa kwa leseni za madr walioko mafunzoni ndiko kumewafanya...
  12. K

    Tetesi madaktari kuzimua mgomo wao

    Jana nilimuona kwenye gazeti moja la kila siku akiwa anaongea na mama mmoja huku akiwa amelala sakafuni........sikuelewa maana yake ni nini, au ndo anajihami kutokana na sababu ulizozitoa hapo juu?
  13. K

    CHADEMA mpuuzeni Mwigulu Nchemba..!

    Nina mashaka kama kweli unafanana na jina lako. Juzi tu Mkuu wa kaya ambaye ni mwenyekigoda wa masikani yenu alikuwa huko kwa Camerun sasa hapo unataka kutuambia nini? Kama ni misaada ya serikali inayoongozwa na Camerun serikali ya Nyinyiem imepokea sana hata kabla ya hiyo CDM kuwepo? Je...
  14. K

    Fujo za Iramba: Waliofanya fujo wanatoka Dar (soma majina)

    Huyu Miguu Chemba sio tu kubwa jinga,mpuuzi na nk ila kapitiliza, ndio maana tulipokuwa nae chuoni pale mlimani alikesha nje ili ajionee kwa macho kuwa mpenzi wake hakulala chuoni, na alisubiri mpaka alfajiri mtoto akarudisha na pedeshee nae akabaki ana ng'aa kama bundi aliyefumaniwa. Huyo...
  15. K

    Siri nje kujisalimisha kwa anayedaiwa kumteka Dr. Ulimboka

    Hii drama anayocheza KOVA itatutokea puani Watanzania tuishio Kenya. Jamaa huku ni mabingwa sana wa kulipiza kisasi, hivyo hatuko salama sana. Kova sema ukweli maana hata nafsi yako siku ile ilidhihirisha wazi kuwa unachokiongea sicho unachokiamini. Maana kwa desturi za Kenya jamaa huyo...
  16. K

    Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

    Thubutu yake hajipendi? anavyopenda kupigiwa mizinga 21 na kupata vijimsaada kutoka kwa mama.......atajipeleka tu ka mbwa kaona chatu
  17. K

    Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

    Domhome hebu ianike hiyo barua kutoka kwa huyo mdhungu wa USA basi.......tuone hilo karipio
  18. K

    Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

    Wewe Mungi kama hujui diplomasia sema usomeshwe shule.........Kwani JK akienda USA huwa anapokelewa na Obama? Au uliwahi kuona wapi rais wako alipofanyiwa wema kuzidi UK? Hebu iangalie vizuri picha uliyotuwekea huoni kawekewa pipi? Wapi aliwahi kupewa pipi?
  19. K

    Taarifa kwa umma

    Dr. Mbando amefanyakazi ya siasa hivyo naye afutiwe leseni ya udaktari. Mimi nadhani mgogoro ulikuwa wa kikazi hivyo serikali ilipaswa kuwafukuza kazi wale ambao wamekwenda kinyume na taratibu za utumishi lakini sio kuwafutia leseni. Hii ni dalili mbaya kuwa serikali haikuwa na dhamira ya dhati...
  20. K

    Dr. Slaa aitolea nje serikali ya Tanzania

    "Ulinzi wa mtu si hiari, serikali inaweza kutumia nguvu kumpa mtu ulinzi au kumlazimisha aisaidie Polisi kuchunguza jambo" alisema Mh. Nchimbi. Hapo kwenye red pananikumbusha Dr. Ulimboka..........aaah napita tuu.
Back
Top Bottom