Asubuhi ya leo magazeti kadhaa yameripoti kuwa mahakama imezuia CUF kuwavua uanachama wabunge. Nadhani wengi watakumbuka hili sekeseke!
Je nini hatma ya ubunge wao!? Maana Nec iliwateua wengine kuziba nafasi
Natafuta rafiki wa kike popote pale. Asizidi miaka 28. Mkristo mwenye hofu ya MUNGU. Awe aghalau na diploma au zaidi. Awe mwembamba, asiwe mfupi. Mbunifu na mwenye mtizamo chanya wa kimaisha.
Umri wangu ni miaka 30.
Ni mkristo. Ni mrefu rangi yangu maji ya kunde.
Ni pm mengine tutafahamiana...
Kama kichwa kinavyojieleza, eneo langu lipo mita 22.5 toka ulipo mkondo mkubwa wa umeme, limepimwa na halmashauri hivyo nalipia kodi kila mwaka.
Nina mpango wa kuendeleza kiwanja changu lakini nimepata hofu kisije nitokea kinachowatokea waliopo pembezoni mwa Morogoro Road!!
Je umbali huu wa...
Tunaelezwa kuwa uchumi wa nchi yetu unakuwa kwa kasi kuliko nci zote Afrika mashariki na kati, naomba niupongeze uongozi uliopo madarakani kwa bidii zote, naomba watanzania wenzangu tumuunge mkono Mh Rais wetu kwani amekuwa na uthubutu mkubwa ambao haujawahi kutokea Tanzania tokea enzi za Mwl...
Mara kadhaa nimekuwa nashiriki mchezo huu wa kubahatisha wa BIKO. lakini kinachosikitisha ni kuwa kuna wakati unaweza ukashinda zile zawadi za papo kwa hapo lakn wasikulipe. Pia tatizo lingine ni kuwa unaweza ukacheza hawarudishi msg za tickets Ila fedha unakatwa pia ukiwapigia simu ni nadra...
Maumivu ya kusalitiwa sio mepesi na wala sio kitu chenye tiba, wewe kubaliana na hali halisi kisha jipe muda maumivu yatakuwa yanapungua hatimaye utafika wakati yataisha. Kusahau namba sio kitu kirahisi ila jitahidi usijaribu hata mara moja kumtafuta. Muda pekee ndio utakaokuponya
dah, naelewa vizuri what you feel right now, asee unapitia kipindi kigumu mno lakn usirudi nyuma songa mbele, usitake kurudi jipe moyo mkuu songa mbele time is the healer!
Unajua hawa viumbe hawajielewi kabisaa! wanakataa watu wa kuwaoa wanakimbilia kwa players wanadungwa mimba waananza kulalama, huwa wanaonga raha kutoka na mabwana za watu, yaani they are very hopeless
kwani mm ndio pumziko la watu? aliponitenda hakujali kama nimeumia au la! leo ameumizwa sasa anafikiri i am concerning katika mauvimu yake. Aende zake huko akawatafute wengine!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.