Search results

  1. I

    Mkuu wa Mkoa Arusha aropoka mei mosi

    Du siamini kama ni kweli amethubutu kufunguka namna hiyo. Naona Mungu anazidi kuweka madudu ya watawala hadharani. Waandishi wahabari mmeambiwa sasa acheni kumuumbua muone mtakavyobaki bila kucha, meno, na macho. chezea usalama wa taifa wewe
  2. I

    Mh.Elizer machangu umetumwa na nani?

    mbunge Bety Changu mziki wa lema utauweza? usitafute kupararuliwa bure
  3. I

    Picha: Nassari akiwa na Lema kituo kikuu cha Polisi, Arusha

    Wao wana dola sisi tuna Mungu, Ipo siku udhalimu wa watawala utashindwa na Mungu atajiinua.
  4. I

    Mahakama ya rufaa yatupilia mbali Rufaa ya Kupinga ushindi dhidi ya Lema!!

    hongereni wanachadema, hongereni wananchi. huu ni ushindi wa wapenda mabadiliko wote
  5. I

    CHADEMA MMefungua NJIA!

    Kama hauamini kwamba tutashinda hasi hautufai. ondoa propaganda hapa jamvini
  6. I

    TCU: Darasa la saba sasa kujiunga na chuo kikuu moja kwa moja

    Namsubiri Livingstone Lusinde nimle kichwa.
  7. I

    Bunge Lisirushe Matangazo yake 'LIVE' - Nape

    Kweli kwa maneno haya ni dhahiri kuwa NAPE anaanza kuchanganyikiwa. anakuja na hoja mpya kabisa, mwanzoni walituambia kwamba wanataka kuchakachua habari za bunge kwa sababu wabunge wanafanya fujo na kujenga twasira mbaya ya chombo hicho kwa wananchi. leo Nape anatuambia kwamba wananchi huwa...
  8. I

    Vyombo vya usalama acheni propaganda, Sheikh Farid mlimteka kweli, ushahid huu hapa...

    Huyo Shehe kajichanganya mwenyewe. Kwanza alisema kuwa alifunikwa uso. Sasa kama alifunikwa uso hivyo vitambulisho vya wana usalama aliwezaje kuvigundua. hapa kuna mswali mengi kwa shehe
  9. I

    Hivi Itakuwaje CHADEMA ikichukua Nchi?

    tegemea maendeleo endelevu
  10. I

    Picha: Ziara ya Nape mkoani Kilimanjaro

    Watu wa Kilimanjaro naomba wamhoji nape anazisemeaje kauli zake hatari za kibaguzi zenye misingi ya ukanda na ukabila. aliwahi kusema chadema ni chama cha wachaga. Sasa aulizwe ana kauli gani kuhusu sera zake hizo za kuwabagua wachaga. Ni lazima abanwe. anawaambiaje wachaga walioko CCM? Je...
  11. I

    'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

    mkuu naona hapa umekurupuka. nahisi hujaelewa hiii thread na ujumbe uliopo. jamaa kaandika kifalsa zaidi. usije ukajikkuta wewe ndio mvivu wa kufikiri na hata kuelewa.
  12. I

    Tatizo: Sisimamishi uume toka form 2

    yeah sure mate. make appointment with your Dr. I feel sorry for how you are going through
  13. I

    Msaada wa mimba jamani

    We unachoogopa ni kumpa mimba, mbona huogopi kama umeambukizwa ngoma? anza kujiandaa kula ARVs
  14. I

    Zitto Kabwe 'amwaga Sumu' Kamati ya Mahesabu ya Mashirika ya Umma

    huwezi kutenganisha mafanikio yake na viongozi wake
  15. I

    James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    Kwani kasema anahamia chama gani? Mbona tunaanza kumkataa wakati hatujui kama anaenda chadema cuf au tlp?
  16. I

    Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

    Hakuna cha msamaha redioni.. Kama ni msamaha akawaombe wanarumeru kwa staili ileile aliyotumia ya mkutano wa hadhara. wanarumeru mashariki wakionesha dalili ya kusamehe basi na sisi tutafiki na kupima kama asamehewe.
  17. I

    Mh. Livingstone Lusinde Under Microscope?

    Ndugu wanajamii, Nimekuwa nikisubiri kwa hamu kusikia NAPE akitoa tamko la kulaani matusi ya LUSINDE kwa wananchi wa Arumeru na Watanzania kwa ujumla. Imekuwa ni tabia ya NAPE kujitokeza na kutoa tamko kuhusiana na jambo lolote linalogusa chama chake cha CCM kwa uharaka sana. Na hata juzi...
  18. I

    Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

    alisomea matusi, kwani wewe hujui?
Back
Top Bottom