Mkuu na vp yule Mungu aliyeuwawa msalabani na wanaadamu ambao kawaumba yy mwenyewe?
Yaani Mungu kaumba wanaadamu alafu wanaadamu wakamgeukia Mungu wao aliyewaumba wakampiga na kumuua msalabali!!!!?
Kwani ni nani anang'ang'ania Muungano!?ss tumesema na tunaendelea kusema wazi wazi hatutaki Muungano.nyinyi ndio mkaleta sheria eti oooh tuujadili kwa kuboresha si kuvunja tukawaambia sawa.ss sisi tumetafuta njia nyengine ambayo tutauvunja muungano badil ndio tukaja na Muungano wa mkataba ili...
Kwaiyo na dr wa biblia nae aliingilia mambo ya watu binafsi?
Pia Dr wa biblia kumuibia yule mkaka mke wake ni halali kwa alikuwa hatimizi mambo flni flni!!!duh kwani ikiwa mke haridhiki na mwenendo wa mumewe hakuna utaratibu wa kisheria kuufata km ni wa dini au kiserikali???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.