Search results

  1. I

    Matumizi ya kifisadi ya Dr. Slaa kwenye ziara ya mkoa wa Kigoma, Singida, Tabora na Shinyanga

    Leka tutigite..... mlisema CDM ni chama cha msimu, sasa mmeshikwa kwenye nyonga mmeanga kulegea mnatoka mapovu kwa uongo. Go Slaa go
  2. I

    CHADEMA yakodi vijana kumshangilia Dr Slaa

    Mlitegemea Dr. Slaa hatakwenda Kigoma kama mlivyotoa matamko yenu, magazeti yenu ye Uhuru, Jambo leo, Hoja n.k yakiandika kuwa Dr. hatakwenda KG. Aibu ya mwaka imewakuta sasa mnakuta na stori za CDM yakodi vijana kumshangilia Dr. Slaa. By the way neno lolote ukiweka kwenye I/Cs halimaanishi kile...
  3. I

    Dr. Slaa kwanini hakukamatwa kahama kwa kuzidisha muda wa mkutano wa hadhara?

    Chris, Una uhakika na unayoyasema kuhusu wanawake wa Kikurya? Baada ya kurudi kwa b**nako CCM umekuwa wa kuongelea single zenu za ukabila. Unabahati unabeba mabox Uingereza ningekusubiri utembelee Nyamwaga au Muriba nikuonyeshe wanaume wakikasirika wanafanya nini.
  4. I

    Zitto Awe Mbaya Wana Kigoma Wawe Wazuri!

    Faizafox, Sijui kama nimepatia jina lenyewe, umeonyesha kuwa mwanamke mwenye umri wa miaka zaidi ya 18 anaruhusiwa kubakwa na kuambukizwa UKIMWI? kweli CCM mmeishiwa sera mmebaki kubahatisha maisha, mara muue Tembo mara muuze madawa ya kulevya nk.
  5. I

    Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

    Hila za CCM hazitaweza kushinda, namuomba ZZK asome tu alama za nyakati asing'ang'anie vitu visivyo na tija kwa msitakabali wa maisha yake kisiasa. You either have to defect to CCM or come back with a truly and objective apology.
  6. I

    CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

    TZ inazidi kudolola kimaendeleo kwa ajili ya mawazo mgando kama haya (mtu akiwa na wazazi wawili llazima mseme! Kanda ya ziwa tunafuata uzao wa baba na siyo mama.
  7. I

    Kikwete: Hata kama Mtu anayechochea Wananchi ana mapembe, tutayakata!

    Dr. Dr. Dr. Kikwete, wewe ni kiongozi wa nchi inayoitwa Tanzania na mtawala wa nchi inayoitwa Tanzania. Sifa moja kubwa ya kiongozi ni kuwasikiliza wananchi wake wanataka lasilimali zao zitumike vipi na wapi. Ukoloni bado unaendelea TZ wa Almasi kuchimbwa Mwadui kiwanda kinajengwa Iringa? Umeme...
  8. I

    Mtandao wa uhalifu Polisi... Wahusishwa na mauaji, biashara ya mihadarati na ulaji rushwa!

    Ukifuatilia kwa umakini utagundua kuwa hakuna uharifu bila polisi kushiriki. Kumekuwepo na tuhuma nyingi na za wazi kuwa hata ujambazi polisi wanakuwa na taarifa ni wapi wizi utatokea na muda gani, hivyo wanajipanga kwenda eneo la tukio baada ya muda huo. Bangi na madawa mengine ya kulevya...
  9. I

    Kwa waliosoma Udom

    Mkuu MMASSY, umemmaliza mbwembwe zote, umempa hadi mawasiliano ya ziada ambayo hakuyahitaji na labda alifikiri umejificha. Tunamsubiri aje na mbwembwe nyingine tena.
  10. I

    Ndani ya JF: Hakuna ambalo halijawahi kusemwa Juu ya Yanayotokea Ndani ya CHADEMA

    Mimi naomba waendelee na mpango wao bila kuegemea CDM. Ndo maana Wasira alisema kwa mdomo mpana kuwa CDM itakufa kabla ya 2015. Mungu kawaumbua kajipangeni upya. Zitto, waweza kujibu hizi tuhuma?
  11. I

    Gazeti RAI laishambulia CHADEMA

    fmpiganaji, hili gazeti haliwezi hata siku moja kuiandika vizuri CDM kwa sababu ndio waliomfanya bosi wao ajiuzuru ubunge wa Igunga. Lakini pia 'Profesa' J. aliimba "ili nifanikiwe ninahitaji marafiki, ili nifanikiwe zaidi nahitaji maadui. Maadui wa CDM wamekuwa wakitoa mchango mkubwa sana (japo...
  12. I

    Joshua Nassari adanganya "live" ITV

    Country 2000 2001 2002 2003 2004 2005 2006 2007 2008 2009 2010 2011 2012 Tanzania 52.26 51.98 51.7 44.56 44.39...
  13. I

    CHADEMA kina wanachama wangapi?

    Namkubali MM kwa makala zake mbali mbali, anao uhuru wa kimawazo pamoja na uhuru mwingine wowote kama binadamu. Ila kila mwanadamu ana utashi wake na ni vigumu kuwahi kupenda kitu halafu ukakichukia ghafla, labda uwe umefanyiwa kitu ambacho hakisameheki. MM ni mwana NYINYIEM, hivyo ataendelea...
  14. I

    Joshua Nassari adanganya "live" ITV

    Hata kama ni UNDP wametoa data si lazima ziwe sahihi. Kwani mara ngapi TZ imesifiwa na mabepali kuwa inapaa katika maendeleo kwa Africa. Wamesema tumepunguza vifo vya watoto, vijana na akina mama, kulinganisha na wenzetu Kenya na Rwanda ambao kiuchumi hatuwakaribii hata kidogo. Kuna uhusiano wa...
  15. I

    Picha: Wengi wajitokeza kuuaga mwili wa kamanda Liberatus Barlow leo Nyamagana

    Ntamaholo, kwani kulikuwa na kujipanga? Vipi nyinyiem mlijipangaje na mwanandoa wenu C*F? Halikuwa tukio la kisiasa, wewe unatokwa na mapovu kwamba CDM hawakujipanga. Ukilala unaota CDM ukiamka unawaza CDM. Kweli mmeshikwa patamu.
  16. I

    Uso kwa uso na mtoto wa Rais Mwinyi (mbunge wa A/M)utetezi wake kuhusu watoto wa vigogo na vyeo

    Barubaru, yawezekana hata wewe hujui maana ya upendeleo hapa TZ, waweza kuwa miongoni mwa waliopendelewa na mfumo hivyo kwako ni sawa tu kama wakipendelewa. Watoto wengi wa vigogo ni viazi tu hawana lolote, ila utakuta wanakamata nafasi nyeti katika maeneo nyeti kama BoT, TRA, TISS just to...
  17. I

    Makanisa mawili yamechomwa Kigoma

    Nyinyiem hawajatoa tamko? siasa za udini wamekuwa wakizishabikia na haya ndiyo matokeo yake. Haya matukio ni cha mtoto udini utakapokubali kuoana na siasa kama ambavyo nyinyiem wanavyotaka iwe, hiki wanachokiita kisiwa cha amani kitakuwa kitovu cha machafuko.
  18. I

    Kamati ya Ngwilizi yawatia hatiani Prof. Muhongo na Eliakim Maswi, yawasafisha Zitto na wenzake!

    Tanganyika ya wadanganyika, hizo nguzo zinazotolewa na kupelekwa Mombasa na kurudi nazo wamezingelea au wameishia kubwabwaja tu kuhusu kanuni na sheria za manunuzi? Tangu mwanzo tulijua kuwa walikiuka hizo kanuni za kifisadi lakini kwa maslahi mapana ya umma. Bei ya kulipia nguzo moja ya umeme...
  19. I

    Kafulila alipomkosoa Wangwe kuhusu 'Nidhamu na demokrasia'

    Ritz, Kama Polisi walishatoa ripoti gani kuhusu tuhuma za mauaji ya Mwakyembe, Six, Dr. Slaa just to mention but a few. Dr. Slaa alipotegeshewa na kupekuliwa chumba chake hotelini Dodoma walitoa taarifa? Kwanini unataka CDM wawe na imani na PoliCCM pamoja na usalama wa CCM? Wananchi wanao uhuru...
  20. I

    Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

    Hakika CDM inawapa homa sana. Viwanja hivyo unavyosema e.g. Bugarika vimegawiwa hata kabla ya uchaguzi mkuu wa 2010. Mimi nilikuwa mmoja wa walioomba kwa kulipia shilingi 5,000/= na nikaomba viwili. Majina yalipotoka sikuwa miongoni mwa waliopata. Sasa nyinyiem mnatokwa na mapovu kupotosha umma...
Back
Top Bottom